Ila njemba kazingua sana.Sisi tulio zaliwa miaka ya themanini katikati, themanini mwishoni na tisini pamoja na kaka zetu wa themanini mwanzoni na wale wa miaka ya sabini, tuache kushobokea issues za watoto wa elfu2 coz wana dunia Yao ya peke Yao. And they don't like us wanasema sisi washamba.
Watoto wa tisini tu wenyewe wanawaitaga " Mijitu ya Tisini"
Huyu jamaa kashoboka kumpeperusha ndege wa huyu Dogo wa tisini, kilicho fuata baada ya hapo hakukipenda.
Hawa madogo wakidai haki zao nyingine za msingi kama hivi wataikomboa nchi. Yaani hapo wangekuwa wanaandamana kudai ahki zao anabishana na polisi inegependeza sana.Sisi tulio zaliwa miaka ya themanini katikati, themanini mwishoni na tisini pamoja na kaka zetu wa themanini mwanzoni na wale wa miaka ya sabini, tuache kushobokea issues za watoto wa elfu2 coz wana dunia Yao ya peke Yao. And they don't like us wanasema sisi washamba.
Watoto wa tisini tu wenyewe wanawaitaga " Mijitu ya Tisini"
Huyu jamaa kashoboka kumpeperusha ndege wa huyu Dogo wa tisini, kilicho fuata baada ya hapo hakukipenda.
Sio wa hii bongoHawa madogo wakidai haki zao nyingine za msingi kama hivi wataikomboa nchi. Yaani hapo wangekuwa wanaandamana kudai ahki zao anabishana na polisi inegependeza sana.
😄Nasimama na Dogo, maelekezo yanajitosheleza
Fack Around and Find Out (FAFO)
Play Stupid Games, Win Stupid Prizes
Nyie kipindi chenu mlidai nini?Hawa madogo wakidai haki zao nyingine za msingi kama hivi wataikomboa nchi. Yaani hapo wangekuwa wanaandamana kudai ahki zao anabishana na polisi inegependeza sana.
2000 has entered the chat😂🤣Nyie kipindi chenu mlidai nini?
Hapo ishu siyo demu.Aisee, angalia vijana anasema niue kisa kademu, ni jambo la kusikitisha, yaani kisa kademu mpaka mama mzazi anatajwa
hapo akiuliwa tutasema sababu walikuwa wanagombea kademu, hiyo masculine instinct ina mashiko ganiHapo ishu siyo demu.
Dogo hataki dharau.
Bora afe kuliko kudhalilishwa na kuonewa. Hiyo ni true masculine instinct.
Lion's heart, a quest to defend his territory and dignity.
Huyo siyo wale unavamiwa na vibaka unakimbia familia yako.
Bora kufa.
Kwako ni kitu kidogo. Kwa dogo ni kitu kikubwa kulinda heshima.hapo akiuliwa tutasema sababu walikuwa wanagombea kademu, hiyo masculine instinct ina mashiko gani