Video: Dogo wa elfu 2 amkomalia jamaa wa 80 alie mtorosha ndege wake

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Sisi tulio zaliwa miaka ya themanini katikati, themanini mwishoni na tisini pamoja na kaka zetu wa themanini mwanzoni na wale wa miaka ya sabini, tuache kushobokea issues za watoto wa elfu2 coz wana dunia Yao ya peke Yao. And they don't like us wanasema sisi washamba.

Watoto wa tisini tu wenyewe wanawaitaga " Mijitu ya Tisini"

Huyu jamaa kashoboka kumpeperusha ndege wa huyu Dogo wa tisini, kilicho fuata baada ya hapo hakukipenda.

Ila njemba kazingua sana.
 
Hawa madogo wakidai haki zao nyingine za msingi kama hivi wataikomboa nchi. Yaani hapo wangekuwa wanaandamana kudai ahki zao anabishana na polisi inegependeza sana.
 
Huyo bila kupepesa ni ntonto wa ntwara au Lindi ndio napo kuna kizazi fulani hivi akina adabu kabisa

Nb, braza kitambi nae kazingua sana nae si mzima pia
 
Aisee, angalia vijana anasema niue kisa kademu, ni jambo la kusikitisha, yaani kisa kademu mpaka mama mzazi anatajwa
Hapo ishu siyo demu.
Dogo hataki dharau.
Bora afe kuliko kudhalilishwa na kuonewa. Hiyo ni true masculine instinct.
Lion's heart, a quest to defend his territory and dignity. A quest to defend his honour.
Huyo siyo wale unavamiwa na vibaka unakimbia familia yako.
Bora kufa.
 
Hapo ishu siyo demu.
Dogo hataki dharau.
Bora afe kuliko kudhalilishwa na kuonewa. Hiyo ni true masculine instinct.
Lion's heart, a quest to defend his territory and dignity.
Huyo siyo wale unavamiwa na vibaka unakimbia familia yako.
Bora kufa.
hapo akiuliwa tutasema sababu walikuwa wanagombea kademu, hiyo masculine instinct ina mashiko gani
 
Back
Top Bottom