Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
tatizo ni nini hapo?Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake , ni doa la milele .
Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe , hawa ni hasara kwa Taifa
huoni tatizo ?tatizo ni nini hapo?
Hivi ni kweli aliyasema hayo kwa kinywa chake mwenyewe au amelishwa maneno hayo? Amewahi kuyakanusha hayo au ameamua kumezea maana hiyo clip nimeiona mara nyingi humu! Kuna watu wana bahati bwana, nyota zao zinang'aa hata wakifanya madudu huonekana dhahabu. Alikiponda chama chetu lakini leo ni boss wetu!Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake , ni doa la milele .
Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe , hawa ni hasara kwa Taifa
Aliyatamka wazi kabisa kwenye tume ya WariobaHivi ni kweli aliyasema hayo kwa kinywa chake mwenyewe au amelishwa maneno hayo? Amewahi kuyakanusha hayo au ameamua kumezea maana hiyo clip nimeiona mara nyingi humu! Kuna watu wana bahati bwana, nyota zao zinang'aa hata wakifanya madudu huonekana dhahabu. Alikiponda chama chetu lakini leo ni boss wetu!
mkilewa msiingie jf , umeona sasa ?Utueleze wewe muntu ya wapi?.. hivi bidii yako ya nyuma kwa kudonoa.. inakupiga hadi unamuandika Kiongozi wako mpendwa kihivi!!!.. kaa tu chini uendelee kulia.. acheni kutafuta kisingiziwo.. huku mukijua kwamba.. chama yenu ni mupo ndani ya futi sita.. siku ingine weka fuli sio kipande..
Nambie utakubwa na uchaguzi huu au ndio watakupita.. kisa kazi ya humu tu umeshindwa?😊 pole
Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake , ni doa la milele .
Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe , hawa ni hasara kwa Taifa
mkilewa msiingie jf , umeona sasa ?
HIKI KIBABU sijui kinajisikiaje kikiwa kinaujua ukweli lakini kinajaribu kuupotosha kwa hali na mali kwa ajili ya litumbo lake, shame on him!Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake , ni doa la milele .
Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe , hawa ni hasara kwa Taifa
Sinema mkuu Erythrocyte.Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake , ni doa la milele .
Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe , hawa ni hasara kwa Taifa
Hapa alikuwa na akili zake kabla hajageuka kuwa Don NalimisonNi aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake , ni doa la milele .
Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe , hawa ni hasara kwa Taifa
Alipojiunga nao tu wakanyofoa akili limebaki boga tu ni bora ya Uchebe kuliko huyu chakubanga.Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake na ni doa la milele .
Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe, hawa ni hasara kwa Taifa
Aliiponda ccm ya kikwete, Sasa hivi ni boss ccm ya Magufuli. Hizi ni ccm mbili tofauti!Hivi ni kweli aliyasema hayo kwa kinywa chake mwenyewe au amelishwa maneno hayo? Amewahi kuyakanusha hayo au ameamua kumezea maana hiyo clip nimeiona mara nyingi humu! Kuna watu wana bahati bwana, nyota zao zinang'aa hata wakifanya madudu huonekana dhahabu. Alikiponda chama chetu lakini leo ni boss wetu!