Video: Eti huyu mtu leo ndio kiongozi wa CCM na ndiye anaikataa Tume Huru ya Uchaguzi

Utueleze wewe muntu ya wapi?.. hivi bidii yako ya nyuma kwa kudonoa.. inakupiga hadi unamuandika Kiongozi wako mpendwa kihivi!!!.. kaa tu chini uendelee kulia.. acheni kutafuta kisingiziwo.. huku mukijua kwamba.. chama yenu ni mupo ndani ya futi sita.. siku ingine weka fuli sio kipande..

Nambie utakubwa na uchaguzi huu au ndio watakupita.. kisa kazi ya humu tu umeshindwa?😊 pole
Wakati mnaandika huwa mnakimbizwa?
 
Aliyatamka wazi kabisa kwenye tume ya Warioba
Hayo si maneno ya Polepole hayo ni maneno ya MBOWE,

Kuweka kumbukumbu sawa ni kwamba POLEPOLE alikuwa akimuonya Mbowe pamoja na NAPE kwa kutumia maneno ya kichochozi na uvunjifu wa amani kwenye kampeni......

Maneno hayo ama CLIP HIYO "imekatwa" na kuondoa kipengele cha maonyo......

TUPATE CLIP NDEFU ili tutoe uchambuzi makini usio HILA
 
😆😆😆
 
Hivi ni kweli aliyasema hayo kwa kinywa chake mwenyewe au amelishwa maneno hayo? Amewahi kuyakanusha hayo au ameamua kumezea maana hiyo clip nimeiona mara nyingi humu! Kuna watu wana bahati bwana, nyota zao zinang'aa hata wakifanya madudu huonekana dhahabu. Alikiponda chama chetu lakini leo ni boss wetu!
Hiyo ndio CCM ambayo tunatakiwa eti TUIAMINI!! WAMEAHIDI "WAMETELEKEZA" AU NIMEKOSEA HAPO?
 
Hivi ni kweli aliyasema hayo kwa kinywa chake mwenyewe au amelishwa maneno hayo? Amewahi kuyakanusha hayo au ameamua kumezea maana hiyo clip nimeiona mara nyingi humu! Kuna watu wana bahati bwana, nyota zao zinang'aa hata wakifanya madudu huonekana dhahabu. Alikiponda chama chetu lakini leo ni boss wetu!
Alikuwa sahihi kwa wakati huo na mazingira ya kisiasa. Upiinzani haukujjipanga kuing'oa CCM. Kilichotokea, upinzani ulifanikiwa kuongeza tu Majimbo na Kata za uchaguzi hadi kufanikiwa kuongoza Halmashsuri za majiji nchini. Waliridhika? Watajibu wenyewe

Kwa sasa ni vigumu kuing'oa CCM kwa sababu imekuwa imara baada ya kushughulikia kero za wananchi badala ya viongozi wa Serikali yake kuchumia matumbo yao. Tofauti iliyopo sasa viongozi wa upinzani wanachumia matumbo yao. Usiombe nguvu ya pesa inavyombadilisha bibadamu. Ruzuku imekuwa sumu kwenye fikra za viongozi wapenda mabadiliko.
 
Utueleze wewe muntu ya wapi?.. hivi bidii yako ya nyuma kwa kudonoa.. inakupiga hadi unamuandika Kiongozi wako mpendwa kihivi!!!.. kaa tu chini uendelee kulia.. acheni kutafuta kisingiziwo.. huku mukijua kwamba.. chama yenu ni mupo ndani ya futi sita.. siku ingine weka fuli sio kipande..

Nambie utakubwa na uchaguzi huu au ndio watakupita.. kisa kazi ya humu tu umeshindwa?[emoji4] pole
Rudi kwenu Rwanda au jifunze kuandika
 
Back
Top Bottom