Video: Eti huyu mtu leo ndio kiongozi wa CCM na ndiye anaikataa Tume Huru ya Uchaguzi

Wakati mnaandika huwa mnakimbizwa?
 
Aliyatamka wazi kabisa kwenye tume ya Warioba
Hayo si maneno ya Polepole hayo ni maneno ya MBOWE,


Kuweka kumbukumbu sawa ni kwamba POLEPOLE alikuwa akimuonya Mbowe pamoja na NAPE kwa kutumia maneno ya kichochozi na uvunjifu wa amani kwenye kampeni......

Maneno hayo ama CLIP HIYO "imekatwa" na kuondoa kipengele cha maonyo......

TUPATE CLIP NDEFU ili tutoe uchambuzi makini usio HILA
 
Hakika "woyeeeee!!" Mshamlia fedha mnadhihaki sasa...
Mmemtoa relini mazima... itamchukua muda kujijenga upya labda itendeke hisani...

Duh!!!
Acha kuniandika na yakwo.. uyapendayo.. kutamani yawe..
 
😆😆😆
 
Hiyo ndio CCM ambayo tunatakiwa eti TUIAMINI!! WAMEAHIDI "WAMETELEKEZA" AU NIMEKOSEA HAPO?
 
Alikuwa sahihi kwa wakati huo na mazingira ya kisiasa. Upiinzani haukujjipanga kuing'oa CCM. Kilichotokea, upinzani ulifanikiwa kuongeza tu Majimbo na Kata za uchaguzi hadi kufanikiwa kuongoza Halmashsuri za majiji nchini. Waliridhika? Watajibu wenyewe

Kwa sasa ni vigumu kuing'oa CCM kwa sababu imekuwa imara baada ya kushughulikia kero za wananchi badala ya viongozi wa Serikali yake kuchumia matumbo yao. Tofauti iliyopo sasa viongozi wa upinzani wanachumia matumbo yao. Usiombe nguvu ya pesa inavyombadilisha bibadamu. Ruzuku imekuwa sumu kwenye fikra za viongozi wapenda mabadiliko.
 
Rudi kwenu Rwanda au jifunze kuandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…