field marshall1
JF-Expert Member
- Sep 17, 2017
- 1,171
- 2,732
Wacha matusi wewe, Hitler alikufa lakini bado tunamsema kwa maovu yake, pia Mussolini, Stalin na wengine. Angetaka asisumbuliwe angetenda mema. Akina Ben Saanane na wengine waliotupwa baharini na kwenye mito pia walihitaji maziko ya heshimaHicho kisimbe kimuache Magufuli apumzike salama.
This is too lowWamalawi waliobahatika kuitawala Zanzibar.
Nasema tena tulipata rais wa ovyo kuliko mtu mwingine yoyote yule, kwa sababu alitoka kule watu wanakouana kutokana na sababu za ushirikina wa kisukuma, aliona kuua ni kitu cha kawaida. Fatma ungeendelea kusema kuwa tulipata rais ambaye hakuwa civilized kabisa. Watu waliuawa na kutekwa mchana kweupe na huyo rais Magufuli wa ovyo, alifanya nchi kama kijiji chake cha huko usukumani. Mnasema tumwache apumzike? Na wale aliowaua hawahitaji kupumzika, acheni Double standard ninyi watanzania wengine. Fatma amesema ukweli kwa asilimia 100. Magufuli alikuwa muuaji mkubwa na hilo halina ubishiClip ya Dak 2:47 akiwa Oslo Forum anasimulia namna "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe" namna kilivyo piga bomu ofisi yake ya UWAKILI na kumjeruhi Tundu Lissu kwa risasi 16.
Hatimaye Kinyago chenyewe kilinyauka mnamo 17/ 03/ 21.
View attachment 2241890
Hakuwahi kushinda uchaguzi wowote ule, ingawa hajashinda na kulazimisha urais na wengi wetu tulimkataa lakini alilazimisha na hivyo haileti Justification ya kusema ni mshindi.Mara waseme hakushinda uchaguzi mara waseme walimchonga wenyewe sisi tuwaeleweje?
unaandika kwa Bold ila haisaidii kumchafua Mwendazake ni chuma cha puaHakuwahi kushinda uchaguzi wowote ule, ingawa hajashinda na kulazimisha urais na wengi wetu tulimkataa lakini alilazimisha na hivyo haileti Justification ya kusema ni mshindi.
Alirithi uchizi wa babu yake.Sio mzima huyo.
Lini babaake Fatuma Karume alishinda uchaguzi Zanzibar?Hakuwahi kushinda uchaguzi wowote ule, ingawa hajashinda na kulazimisha urais na wengi wetu tulimkataa lakini alilazimisha na hivyo haileti Justification ya kusema ni mshindi.
Mkuu Ngarob umeua. Hii post yako iwelewe laminationHumu kuna watu hawataki yasemwe kwa uwazi mabaya aliyofanya Magufuli..
Kila binadamu ana udhaifu fulani na ndio maana kila muda kwenye nyumba za ibada tunakumbushwa kuomba toba.
Magufuli kama binadamu aliyepita inabidi asemwe kusudi iwe fundisho kwa vizazi vijavyo kwa namna ya kupata viongozi wenye busara na ngozi nene ( kuhimili changamoto za kiuongozi)
Magufuli hakuweza kuhimili changamoto na hivyo kujikuta anaumiza watu kwakuwa alikuwa na cheo kikubwa kilichompa kiburi.
Lazima Magufuli asemwe kwakuwa hakufuata sheria.. Alipenda sifa binafsi na kujiona kwamba yeye ndiye mwenyewe yupo sahihi.
Lazima asemwe ili iwe fundisho kwa taifa hasa kupata kiongozi mwenye utimamu wa akili katika kuongoza watu na taasisi zake kwa kufuata sheria.. Na kuondoa UMIMI kwa kila jambo mpaka taifa kujikuta amevuruga kila kitu.. Kuanzia ajira, biashara ( kaharibu sekta binafsi Sana), mahusiano ya kimataifa, siasa za manunuzi, siasa za risasi, siasa za zidumu fikra za mwenyekiti..
Alikwenda kufanya Mahakama ziwe hovyo sana hasa pale Serikali ikiwa inalalamikiwa..
Magufuli hakufaa kuwa Rais, alijaa roho ya visasi sana
DuuhUngeangalia video ungegundua kwamba hata kama Fatma angekua na uwezo wa kufufua watu Magufuli asingekua miongoni mwao
Mimi hadi leo hainiingii akilini kwamba Ofis za EMMA Advocates pale Upanga zinalipuliwa na Mabomu sehemu ambayo ni very highly protected na mita chache tu kutoka hapo kuna Makao makuu Ya Jeshi na bado mpaka leo hatukuambiwa hatima ya watu waliolipua lile bomu.Ukweli ambao si wengi watataka kuusikia ila hilo halifanyi alichosema kuwa uongo.
Ilikuwa ni kazi ya WASIOJULIKANA ambao walikuwa wana operate chini ya Makonda. Walitumwa na Magufuli kama walivyotumwa kumua Tundu Lissu ila Mungu akamnusuruMimi hadi leo hainiingii akilini kwamba Ofis za EMMA Advocates pale Upanga zinalipuliwa na Mabomu sehemu ambayo ni very highly protected na mita chache tu kutoka hapo kuna Makao makuu Ya Jeshi na bado mpaka leo hatukuambiwa hatima ya watu waliolipua lile bomu.
Kwamba hao majambazi na wahalifu waliofanya tukio lile la kuhatarisha amani ya nchi kwa dharau hiyo wana mguvu kuliko vyombo vyetu vya usalama combined??
Itanichukua muda mrefu sana kufikiri jambo hili.
Mambo ya kiutawala hiyoAliyofanya Magufuli hata Nyerere aliwahi kuyafanya. Nani alimpinga Nyerere? Kambona alijaribu akapata joto la jiwe akakimbia nchi. Wengine walipotezwa. Mfano ni huu hapa
Vipi kuhusu Muhutu aliyelala?Wamalawi waliobahatika kuitawala Zanzibar.