Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Video kwa kirefu ya mhadhara mzito alioutoa Fatma Karume mjini Oslo, Norway
0slo, Norway
Fatma Karume, Stopping Tanzania’s “Bulldozer” President
Fatma Karume is a prominent Tanzanian lawyer and advocate for the rule of law who used the courts and Twitter to challenge the authoritarianism of the late President John Magufuli and to defend democracy.
In 2019, she co-founded the Center for Strategic Litigation to challenge the regime’s repressive and unconstitutional laws.
She also used Twitter to educate the public about their rights, raise awareness about human rights violations, and raise funds for political prisoners.
In response to her activism, Karume’s office was bombed in 2017, and she faced disbarment in 2020, which has since been overturned.
Source: Oslo Freedom Forum
zitto junior JokaKuu Yoda mijadala ya aina hii ina manufaa kweli au ni kuendeleza mapambano na asiyekuwepo kwenye majukwaa ya wahisani ?Clip ya Dak 2:47 akiwa Oslo Forum anasimulia namna "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe" namna kilivyo piga bomu ofisi yake ya UWAKILI na kumjeruhi Tundu Lissu kwa risasi 16. Hatimaye Kinyago chenyewe kilinyauka mnamo 17/ 03/ 21
View attachment 2241890
Hivi wewe mjinga unajuwa watu tunefiwa na ndugu zetu kwa COVID 19 kisa ubishi na wendawazim wa Magufuli?Fatma hana moral authority ya kukisema Chuma JPM, Sisi wazee wa imani tunaamini kuwa Kifo cha JPM ni Sadaka kwetu, Mtu aliyepambana Wananchi wake asiwafungie ndani kisa Convid mtu aliyetoa hofu ya convid mpaka kupelekea shughuli za uchumi kutosimama na taifa kutoanguka huyo ni Shujaa kama askari namba moja alipambana sana, Na katika Hilo Kifo chake imekuwa kama Sadaka kwetu, Mungu ampe pumziko na milele
Hivi vitendo viovu lazima tuviweke wazi sasa kwa vile Magufuli akiwa hai angeweza kutuua kwa kusema ukweli. Tunataka yaliyokea kwa Magufuli kuwa Rais huku ni KICHAA yasije kujitokeza tena kwa kizazi kijacho.zitto junior JokaKuu Yoda mijadala ya aina hii ina manufaa kweli au ni kuendeleza mapambano na asiyekuwepo kwenye majukwaa ya wahisani ?
zitto junior JokaKuu Yoda mijadala ya aina hii ina manufaa kweli au ni kuendeleza mapambano na asiyekuwepo kwenye majukwaa ya wahisani ?
Not sexism nor misogyny, but does she talk to her husband and their kids in the same hatred language?
Excellent reflection. Wengi tunasahau kitu kimoja. Haki huwezi kuizika au kuipoteza hivi hivi. Hata ungefanyaje. Ndo maana mpaka leo tunawasoma viongozi wa calibre ya Hitler au Mussolini...kila mtu anajua kilichotokea.
..nadhani hakuna haja ya kubishana kuhusu nini kilitokea.
..we should come together as a nation kuangalia namna bora ya kuwafariji walioumizwa.
..ningependa wachangiaji wanaotukanana ktk mjadala huu wavae viatu vya wazazi wa Ben Saanane.
..tujiulize wazazi wa Ben Saanane wanaamkaje, wanashindaje, na wanalalaje?
..Kabla ya ku-post tuwafikirie mke, watoto, na wazazi wa Azory Gwanda. Hivi tumewaona jinsi walivyo masikini? Na Azory ndio alikuwa tegemeo lao.
..Tukirudi kwa Fatma Karume, ofisi yake imepigwa bomu. Je, kilichotokea ni uungwana? Je, ni halali? Je, amepata haki yake?
..Je, Fatma ame-react kinyume na matarajio? Kwanini tunaona ajabu Fatma Karume kulalamika? Nini kifanyike ili Fatma Karume na wengine waliofikwa na majanga wasilalamike?
..Again, natamani Watanzania tuwe kitu kimoja na kushinikiza HAKI itendeke kwa wote walioumizwa.
Those with clean hands must come to equityMbona mnakuwa na akili fupi kama za kuku? Ona mlivyo wajinga mnatumia zile zile technic za watoto wadogo za kusema ''fulani naye kalamba sukari''. Hovyo kabisa!
Huyu Mama anajitambua, upinzani wampe ubunge viti maalum 2025 anaweza kuwa na mchango mkubwa bungeni kama alivyokua Maria Sarungi kwenye bunge la KatibaClip ya Dak 2:47 akiwa Oslo Forum anasimulia namna "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe" namna kilivyo piga bomu ofisi yake ya UWAKILI na kumjeruhi Tundu Lissu kwa risasi 16. Hatimaye Kinyago chenyewe kilinyauka mnamo 17/ 03/ 21
View attachment 2241890
Heko JokaKuu kwa kutoa dira ambayo iko very genuine. Kama viongozi wanapita humu basi waazime haya madini yako..kila mtu anajua kilichotokea.
..nadhani hakuna haja ya kubishana kuhusu nini kilitokea.
..we should come together as a nation kuangalia namna bora ya kuwafariji walioumizwa.
..ningependa wachangiaji wanaotukanana ktk mjadala huu wavae viatu vya wazazi wa Ben Saanane.
..tujiulize wazazi wa Ben Saanane wanaamkaje, wanashindaje, na wanalalaje?
..Kabla ya ku-post tuwafikirie mke, watoto, na wazazi wa Azory Gwanda. Hivi tumewaona jinsi walivyo masikini? Na Azory ndio alikuwa tegemeo lao.
..Tukirudi kwa Fatma Karume, ofisi yake imepigwa bomu. Je, kilichotokea ni uungwana? Je, ni halali? Je, amepata haki yake?
..Je, Fatma ame-react kinyume na matarajio? Kwanini tunaona ajabu Fatma Karume kulalamika? Nini kifanyike ili Fatma Karume na wengine waliofikwa na majanga wasilalamike?
..Again, natamani Watanzania tuwe kitu kimoja na kushinikiza HAKI itendeke kwa wote walioumizwa.
Mwanaharakati anaweza kuwa mwanasiasa mzuri ?Huyu Mama anajitambua, upinzani wampe ubunge viti maalum 2025 anaweza kuwa na mchango mkubwa bungeni kama alivyokua Maria Sarungi kwenye bunge la Katiba