Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Mafundi njooni haraka na zana zenu huyu ana nati iliyolegea kwenye ubongo, ni ya kukaza ili ajue anachoongea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Already mentioned ,she challenged the regime,two cases not only that but if you use twitter you can checkI am one among the annoyed ones! Why would she speak the truth behind Magufuli's back?
Why did Fatma hesitate to face Magufuli and tell him that his regime had dragged the country back to the dark ages?
She said she was brought up in the democratic home why did she fear Magufuli?
Why does she speak the truth now?
Mama yako nae anaanza kuchokwa ulipopasema au inakuwaje? Tupe experience nabiiNi kweli lkn ukatiri wa JPM lazima usemwe.
Na ninaamini kwa sasa yuko jehanamu akichomwa barabara.
Tena leo kadudu kake ndio kanaunguzwa
Hilo zungumza wewe kama unajua! Yeye kama mjukuu anaweza asiwe na taarifa sahihi kwa kuwa anasimuliwa!Kama ni mpenda haki azungumzie unyama aliofanya babu yake kuua watu kama kuku.
Fatma Karume mtetezi wa mashoga. Watu wa mlengo wa Fatma Karume hawakumpenda Magufuli.
Mbona mnakuwa na akili fupi kama za kuku? Ona mlivyo wajinga mnatumia zile zile technic za watoto wadogo za kusema ''fulani naye kalamba sukari''. Hovyo kabisa!Kama ni mpenda haki azungumzie unyama aliofanya babu yake kuua watu kama kuku.
Ndio nikasema huo msemo hutumika kwa kitu ambacho hakiwezi kukutisha, ila sasa kwa Jiwe huo mfano wa kinyago haukuwa sahihi kwake.Ni figurative language, ni kama mtu anavyosema kinyago nilichokichonga mimi hakiwezi kunitisha, hamaanishi kinyago in literal sense
Yupo na Nyerere huko pamoja na Maalim seif.Hivi jiwe yuko wapi?
wewe ndiyo siyo mzima maana mtu mzima upstairs hawezi kuandika kama ulivyoandikaSio mzima huyo.
Kwani huo msemo unapokuwa unatumika ni kuwa hicho kitu kinakuwa hakimtishi kweli?Ndio nikasema huo msemo hutumika kwa kitu ambacho hakiwezi kukutisha, ila sasa kwa Jiwe huo mfano wa kinyago haukuwa sahihi kwake.
A very precise narration, natamani aandike kitabu kuhusu kinyago hicho. Fluent English! Love her tonation, asante Fatuma, asante tena na tenaClip ya Dak 2:47 akiwa Oslo Forum anasimulia namna "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe" namna kilivyo piga bomu ofisi yake ya UWAKILI na kumjeruhi Tundu Lissu kwa risasi 16. Hatimaye Kinyago chenyewe kilinyauka mnamo 17/ 03/ 21
View attachment 2241890
Kwahiyo Fatuma alikusudia kachonga kinyago kilichokuja kumtisha?Kwani huo msemo unapokuwa unatumika ni kuwa hicho kitu kinakuwa hakimtishi kweli?
Au hujawahi kusikia huo msemo ukitumika?
Kuna mtu unaweza ukamjenga kwenye jambo fulani, ila akaja kuwa tishio kwako,inatokea sana tu, na ndio huo msemo ilipozaliwa
Wewe unao ushahidi dhidi ya JPM?Anahukumiwa kwa makosa(ushahidi haujaweka)ya baba yake?Kanuni ya wapi hii?
Hii ni dhihaka na dharau kwa idara yetu nyeti ya Taifa na wazee wake. ila kwangu naona ni sawa ipo siku akili itatukaa sawa. Anaye ita wenzake vinyago na yeye..... Haya let keep silence maana mpaka anaongea maneno hayo kwenye mataifa ya kigeni na anaongelea mtu wa jamuhuri raia namba moja na amekufa kabla ya mwisho wake ukisema alihusika sijuwi kama mtu atakosea yeye ni mwana sheria anajuwa sheria na anajuwa kabisa hakuna kesi hata moja imefunguliwa ikimshutumu huyo kinyago anaye mtaja kama alihusika na hayo mambo anamshutumu mbaya yeye ni mnufaika wahao wanatengeneza vinyago na kama wasinge mtengeneza baba yake asinge kuwa Rais na huyo anaye muona sasa ndio Rais bora hao wachonga vinyago ndio wanamlinda akae pale ikulu na bado wanamlinda baba yake kule Znz na yeye amekuwa alipo hapo kutokana na hao wachonga vinyago. Well mm nakaa kimya maana hicho kinyago anakisema na yeye alikichonga akiwa sijuwi nani mm nakaa kimya. Nakaa kimya na sema nakaa kimya naijuwa Jamuhuri.Clip ya Dak 2:47 akiwa Oslo Forum anasimulia namna "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe" namna kilivyo piga bomu ofisi yake ya UWAKILI na kumjeruhi Tundu Lissu kwa risasi 16. Hatimaye Kinyago chenyewe kilinyauka mnamo 17/ 03/ 21
View attachment 2241890
Msubiri Fatma atakupa ushahidi.Wewe unao ushahidi dhidi ya JPM?
AU unatumia uji kufikiri?
Soma tena, toa tongotongo kwenye Hilo tarumbeta ulilokalia, utaona vizuriKwa hivyo unasemaje ww mpuzi mbona hujasomeka?
Hicho kinyago tulichokichonga ndiyo kilikuwa kinapaswa kwanza kuhakikisha Polisi wanawakamata walioiga bomu na wale waliomshambulia Tundu Lissu. Kitendo cha kutochukua hatua ndiyo kinathibitisha uhusika wa "marehemu Kinyago" katika mashambulizi ya ofisi ya Fatma na risasi za Tundu Lissu.Hii ni dhihaka na dharau kwa idara yetu nyeti ya Taifa na wazee wake. ila kwangu naona ni sawa ipo siku akili itatukaa sawa. Anaye ita wenzake vinyago na yeye..... Haya let keep silence maana mpaka anaongea maneno hayo kwenye mataifa ya kigeni na anaongelea mtu wa jamuhuri raia namba moja na amekufa kabla ya mwisho wake ukisema alihusika sijuwi kama mtu atakosea yeye ni mwana sheria anajuwa sheria na anajuwa kabisa hakuna kesi hata moja imefunguliwa ikimshutumu huyo kinyago anaye mtaja kama alihusika na hayo mambo anamshutumu mbaya yeye ni mnufaika wahao wanatengeneza vinyago na kama wasinge mtengeneza baba yake asinge kuwa Rais na huyo anaye muona sasa ndio Rais bora hao wachonga vinyago ndio wanamlinda akae pale ikulu na bado wanamlinda baba yake kule Znz na yeye amekuwa alipo hapo kutokana na hao wachonga vinyago. Well mm nakaa kimya maana hicho kinyago anakisema na yeye alikichonga akiwa sijuwi nani mm nakaa kimya. Nakaa kimya na sema nakaa kimya naijuwa Jamuhuri.