Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusu ukatili wa Karume uelezee wewe muache shangazi aelezee ukatili wa kayafa...Mbona haelezi namna Wazanzibar walivyouliwa na babu yake kisa tu akihofia wasomi kama Kassim Hanga na wengine walivyokufa kifo kibaya.
Anatumwa na watu kumtukana Magufuli bila sababu wakati babu yake alifanya ukatili wa wazi kabisa na kuua watu huko Zanzibari.
Hapo alipo hana mikono misafi kabisa maana familia yao imejaa dhambi na ukatili.
Well said bro.Yeye kaweka ukatili wa Magufuli hadharani, ni juu yako ww kuzunguka duniani kuweka ukatili wa babu yake, au kukanusha kuhusu ukatili aliokuwa anaufanya Magufuli.
Mwendazake alikuwa chuma cha pua hata ukimchafua hachafuki!! the bulldozer@!Magu kajaa mioyoni mwa wabongo kumponda ni kumuongezea umaarufu na Upendo walionao wabongo juu yake!
Clip ya Dak 2:47 akiwa Oslo Forum anasimulia namna "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe" namna kilivyo piga bomu ofisi yake ya UWAKILI na kumjeruhi Tundu Lissu kwa risasi 16. Hatimaye Kinyago chenyewe kilinyauka mnamo 17/ 03/ 21
View attachment 2241890
Halafu ukatili wa babu yake hauhalalishi ukatili wa Magufuli. Magufuli alifanya ukatili kipindi ambacho dunia imefunguka na kuwa na watu wanaelewa mambo tofauti na kipindi cha babu yake ambacho hata habari hazikupatikana kuthibitisha hilo. Magufuli alipiga watu risasi na kuteka baadhi kwasababu za kipiuzi sana ambazo hata mtoto wa chekechea atakuona mpuuzi.Yeye kaweka ukatili wa Magufuli hadharani, ni juu yako ww kuzunguka duniani kuweka ukatili wa babu yake, au kukanusha kuhusu ukatili aliokuwa anaufanya Magufuli.
Halafu ukatili wa babu yake hauhalalishi ukatili wa Magufuli. Magufuli alifanya ukatili kipindi ambacho dunia imefunguka na kuwa na watu wanaelewa mambo tofauti na kipindi cha babu yake ambacho hata habari hazikupatikana kuthibitisha hilo. Magufuli alipiga watu risasi na kuteka baadhi kwasababu za kipiuzi sana ambazo hata mtoto wa chekechea atakuona mpuuzi.
Magufuli atabaki kuwa bora zaidi vizazi na vizazi.
Mima sana. pengine kama ulihusika kuweka mabomu.Sio mzima huyo.
An eloquent speaker!Anaongea kwa hisia sana. Nimependa english yake
ukweli maana yake nini mkuu???Kwani na wewe umekatazwa kuzunguka duniani kueleza ukatili wa babu yake dhidi ya Wazanzibari?
Kwani Fatma Karume ndiye aliyesababisha babu yake afanyie ukatili Wazanzibari?
Kwani ikiwa babu yake kafanyia ukatili Wazanzibari, hilo linaondoa ukweli atakaousema kuhusu Magufuli?