Video: Fatma Karume Kwenye Mhadhara wa Kimataifa Asimulia Unyama wa "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe"

Video: Fatma Karume Kwenye Mhadhara wa Kimataifa Asimulia Unyama wa "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe"

Mwendazake alikuwa chuma cha pua hata ukimchafua hachafuki!! the bulldozer@!Magu kajaa mioyoni mwa wabongo kumponda ni kumuongezea umaarufu na Upendo walionao wabongo juu yake!
 
Mbona haelezi namna Wazanzibar walivyouliwa na babu yake kisa tu akihofia wasomi kama Kassim Hanga na wengine walivyokufa kifo kibaya.

Anatumwa na watu kumtukana Magufuli bila sababu wakati babu yake alifanya ukatili wa wazi kabisa na kuua watu huko Zanzibari.

Hapo alipo hana mikono misafi kabisa maana familia yao imejaa dhambi na ukatili.
Kuhusu ukatili wa Karume uelezee wewe muache shangazi aelezee ukatili wa kayafa...
 
Ukweli utaendelea kubaki kuwa magufuli alikuwa raisi bora.
 
Kwa dini yetu waislamu inasema

Ukimfanyia mtu ubaya leo Mwenyezi Mungu anaweza kulipa ubaya huo huo kwa mjukuu wako.

Vilevle wema.

Shangazi asubiri kulipwa ubaya aloufanya babuye.

Hata biblia inasema " Nawapatiliza wana maovu ya baba zao. Hata kizazi cha tano na cha sita".
 
Fatma hana moral authority ya kukisema Chuma JPM, Sisi wazee wa imani tunaamini kuwa Kifo cha JPM ni Sadaka kwetu, Mtu aliyepambana Wananchi wake asiwafungie ndani kisa Convid mtu aliyetoa hofu ya convid mpaka kupelekea shughuli za uchumi kutosimama na taifa kutoanguka huyo ni Shujaa kama askari namba moja alipambana sana, Na katika Hilo Kifo chake imekuwa kama Sadaka kwetu, Mungu ampe pumziko na milele
 
Clip ya Dak 2:47 akiwa Oslo Forum anasimulia namna "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe" namna kilivyo piga bomu ofisi yake ya UWAKILI na kumjeruhi Tundu Lissu kwa risasi 16. Hatimaye Kinyago chenyewe kilinyauka mnamo 17/ 03/ 21
View attachment 2241890

Anazani watanzania ndyo watamuelewa?? aliye tu na uhakika hata akigombea leo na huyo anaemponda wtu watachagua kivuli kuliko yy
 
Yeye kaweka ukatili wa Magufuli hadharani, ni juu yako ww kuzunguka duniani kuweka ukatili wa babu yake, au kukanusha kuhusu ukatili aliokuwa anaufanya Magufuli.
Halafu ukatili wa babu yake hauhalalishi ukatili wa Magufuli. Magufuli alifanya ukatili kipindi ambacho dunia imefunguka na kuwa na watu wanaelewa mambo tofauti na kipindi cha babu yake ambacho hata habari hazikupatikana kuthibitisha hilo. Magufuli alipiga watu risasi na kuteka baadhi kwasababu za kipiuzi sana ambazo hata mtoto wa chekechea atakuona mpuuzi.
 
Halafu ukatili wa babu yake hauhalalishi ukatili wa Magufuli. Magufuli alifanya ukatili kipindi ambacho dunia imefunguka na kuwa na watu wanaelewa mambo tofauti na kipindi cha babu yake ambacho hata habari hazikupatikana kuthibitisha hilo. Magufuli alipiga watu risasi na kuteka baadhi kwasababu za kipiuzi sana ambazo hata mtoto wa chekechea atakuona mpuuzi.

Kula nyama ya mbuzi kilo moja hapo kwa mromboo nakuja kulipa.
 
Kwani na wewe umekatazwa kuzunguka duniani kueleza ukatili wa babu yake dhidi ya Wazanzibari?

Kwani Fatma Karume ndiye aliyesababisha babu yake afanyie ukatili Wazanzibari?

Kwani ikiwa babu yake kafanyia ukatili Wazanzibari, hilo linaondoa ukweli atakaousema kuhusu Magufuli?
ukweli maana yake nini mkuu???

isiwe ukweli ni tuhuma zozote zinazomkabili usiyempenda.
hapa ndio maama mwanaharakati uchwara anapokabwa kwamba harakati haziangalii nani yako kafanya,unatakiwa ufumue kote kote.

huu utoto wa kuwaambia watu wakausemee na wao wakati tunapishana vipaumbele,hulka,mifumo ya maisha na malengo ni dalili ya ushabiki.
 
Video kwa kirefu ya mhadhara mzito alioutoa Fatma Karume mjini Oslo, Norway

0slo, Norway

Fatma Karume, Stopping Tanzania’s “Bulldozer” President


Fatma Karume is a prominent Tanzanian lawyer and advocate for the rule of law who used the courts and Twitter to challenge the authoritarianism of the late President John Magufuli and to defend democracy.

In 2019, she co-founded the Center for Strategic Litigation to challenge the regime’s repressive and unconstitutional laws.

She also used Twitter to educate the public about their rights, raise awareness about human rights violations, and raise funds for political prisoners.

In response to her activism, Karume’s office was bombed in 2017, and she faced disbarment in 2020, which has since been overturned.

Source: Oslo Freedom Forum
 
Back
Top Bottom