Ni kweli aliyosema kuhusu marehemu magufuli....ila sasa kama yeye mwanaharakati amseme na marehemu babu yake MZEE KARUME aliyeongoza kwa mkono wa damu, kuongoza Zanzibar kwa matamko (decree) bila katiba wala uchaguzi(akiapa kutofanya uchaguzi zanzibar kwa miaka 50 ijayo akimaanisha 1964-2014), akiwaua kikatili watu 19 akiwemo waziri Abdallah Kassim Hanga, Salehe Saadallah Akida, Abdul Aziz Twala na makatibu wakuu wa wizara, Aboud Nadhif na Mdungi Ussi na baadaye Othman Sharrif na wengi aliotofautiana nao kimawazo.....inawezekana magufuli aliiga toka kwa Mzee Karume style ya uongozi