mmeshindwa kutengeneza pamba ya kuoshea vidonda ambayo mnalima kanda ya ziwa , mtaweza dawa ya corona ?
wahuni wale, hela ndio inatibu corona au dawa? acha wapigwe.Zile za EU ambazo matumizi yake yanahojiwa mliziomba za nini kama hamuhitaji kusaidiwa?
Sitaongeza neno lolote , jionee mwenyewe .
View attachment 1688331
Jamaa kawai kudandia kama konda wa chai maharage. (wale wazee wa zamami wanjuwa KIA chai maharage) 😂Kwahiyo Lema amebahatika?!
akili ipi aliyonayo mkuu, kama tu ameshindwa kuchukua nchi kwa njia ya maneno tangu uhuru? Akili ya mtu inapimwa kwa output aliyotoa hapo tu. Hivyo usitudanganye kila mtu ana akili hapa.Sitaongeza neno lolote , jionee mwenyewe .
View attachment 1688331
jf inaheshimu mawazo ya kila mmojaMhe Mbowe, kamanda na kiongozi wangu. Ugonjwa huu hautupendi waafrika. Siyo kwamba jpm amesikilizwa na Mungu halafu akatuepusha na gonjwa hili. Hapana. Gonjwa hili halitupendi.
Covid-19 ni sawa kabisa na mafua makali ambayo kwa miaka nenda rudi tumeishi nayo huku.
Kwahiyo tusiingie kwenye mtego wa wazungu wakaanza kutichezesha mchezo wa kufuata masharti yao kama vile lockdown, chanjo, fumigation, kufunga mashule, magest hausi, masherehe n.k.
Ingekuwa ugonjwa huu unatupenda tungekuwa tumekufa. Kwahiyo tulia mhe Mbowe, acha tupige kazi maisha yaende.
Jiwe kabahtisha tu kwa kuwa ugonjwa hautupendi.
Sisi nyungu tuu. Acha wachanjane mpaka waone raha. Tanzania hatutaki chanjo. Tunatumia dawa za asili. Mbona mabeberu wanatulazimishia hawa machanjo. Yana nini? Mbona hatulazimishii teknologia???????? Hawa makuku meupe yana shida.Mbowe anaongea kama mtu aliyekata tamma na hawezi kwenda mbele mpaka apate msaada. Majuzi rais Magufuli alisema ni aibu kwa taifa kushindwa kutengeneza dawa zake zenyewe, leo tunaona mgawano wa chanjo ya Corona duniani, Afrika haitapata chanjo za kutosha mpaka 2023 pale wazungi watakapo maliza kuchanjana.View attachment 1688353
Mkuu wafe wangapi ndio tustukeMhe Mbowe, kamanda na kiongozi wangu. Ugonjwa huu hautupendi waafrika. Siyo kwamba jpm amesikilizwa na Mungu halafu akatuepusha na gonjwa hili. Hapana. Gonjwa hili halitupendi.
Covid-19 ni sawa kabisa na mafua makali ambayo kwa miaka nenda rudi tumeishi nayo huku.
Kwahiyo tusiingie kwenye mtego wa wazungu wakaanza kutichezesha mchezo wa kufuata masharti yao kama vile lockdown, chanjo, fumigation, kufunga mashule, magest hausi, masherehe n.k.
Ingekuwa ugonjwa huu unatupenda tungekuwa tumekufa. Kwahiyo tulia mhe Mbowe, acha tupige kazi maisha yaende.
Jiwe kabahtisha tu kwa kuwa ugonjwa hautupendi.
Mpk Sasa hakuna hatua tahadhari yoyote inayofaa kuzuia korona. Hata chanjo zinazotolewa ni usanii tu.Mkuu wafe wangapi ndio tustuke
Konyagi bwanaSitaongeza neno lolote , jionee mwenyewe .
View attachment 1688331
Kwa hiyo tuishi tu kama hamna ugonjwa, ndio ushauri wako?Mpk Sasa hakuna hatua tahadhari yoyote inayofaa kuzuia korona. Hata chanjo zinazotolewa ni usanii tu.
View attachment 1688427
Hao unaowaita wazungu ndio wamechangia gharama za utafiti uliopelekea hizi chanjo zipatikane. Wao ndio waliweka oda mapema hata chanjo haijapatikana. Na pamoja na juhudi zao, kiasi cha chanjo hakitoshelezi mahitaji yao. Kama hautaki kuwa wa mwisho ungechangia gharama au ungetafuta chanjo yako mwenyewe.Mbowe anaongea kama mtu aliyekata tamma na hawezi kwenda mbele mpaka apate msaada. Majuzi rais Magufuli alisema ni aibu kwa taifa kushindwa kutengeneza dawa zake zenyewe, leo tunaona mgawano wa chanjo ya Corona duniani, Afrika haitapata chanjo za kutosha mpaka 2023 pale wazungi watakapo maliza kuchanjana.View attachment 1688353
Sasa mzee nchi za dunia ya 3 mnataka mpewe 1st priority kwenye dawa hivi iyo kitu inaingia akilini .Mbowe anaongea kama mtu aliyekata tamma na hawezi kwenda mbele mpaka apate msaada. Majuzi rais Magufuli alisema ni aibu kwa taifa kushindwa kutengeneza dawa zake zenyewe, leo tunaona mgawano wa chanjo ya Corona duniani, Afrika haitapata chanjo za kutosha mpaka 2023 pale wazungi watakapo maliza kuchanjana.View attachment 1688353
Ugonjwa wameutengeneze wenyewe kwa maslahi yao hata hizo chanjo ndio ilikuwa target yao ndo maana baada ya mda mfupi wameanza hiyo biasharaHao unaowaita wazungu ndio wamechangia gharama za utafiti uliopelekea hizi chanjo zipatikane. Wao ndio waliweka oda mapema hata chanjo haijapatikana. Na pamoja na juhudi zao, kiasi cha chanjo hakitoshelezi mahitaji yao. Kama hautaki kuwa wa mwisho ungechangia gharama au ungetafuta chanjo yako mwenyewe.
Amandla...