Mhe Mbowe, kamanda na kiongozi wangu. Ugonjwa huu hautupendi waafrika. Siyo kwamba jpm amesikilizwa na Mungu halafu akatuepusha na gonjwa hili. Hapana. Gonjwa hili halitupendi.
Covid-19 ni sawa kabisa na mafua makali ambayo kwa miaka nenda rudi tumeishi nayo huku.
Kwahiyo tusiingie kwenye mtego wa wazungu wakaanza kutichezesha mchezo wa kufuata masharti yao kama vile lockdown, chanjo, fumigation, kufunga mashule, magest hausi, masherehe n.k.
Ingekuwa ugonjwa huu unatupenda tungekuwa tumekufa. Kwahiyo tulia mhe Mbowe, acha tupige kazi maisha yaende.
Jiwe kabahtisha tu kwa kuwa ugonjwa hautupendi.