Video: Freeman Mbowe ni miongoni mwa watu wachache wenye akili kubwa ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao , Asante Mungu kwa zawadi hii

Rais anaposema ni aibu kwa taifa kushindwa kutengeneza dawa zake yenyewe, yeye kama rais anaona mtu wa kwanza kulaumiwa kwa hili ni nani?

Huyu rais anaelewa kazi yake?

Mbona na yeye kapewa uongozi analalamika kama wananchi wasio na dhamana ya uongozi?
 
FIKIRIA KWA MAPANA YAKE
Mara ya kwanza C 19 ilipoibuka bongo tukapiga nyungu wao wakajifungia, matokeo yakawa sisi 3 wao 0.

Ghafla tukaambiwa kirus kimerudi kwa ukali zaidi na chanjo pia imegunduliwa, wakati huo huo wao wakajifungia pia wanazo mashine na Vifaa tiba vzr lakn kila siku wanakufa, huku kwetu maisha ni changanyikeni lakn hatufi Kama wao.

Sio kila ukiambiwa na ngozi nyeupe ukubali, tumia akili kidogo. Zambia nao wamekataa chanjo ya C 19 kuingia nchini kwao
 
Wataalam wetu wenye ma-PHD na ma_Profesa waliobobea katika fani ya utabibu na utafiti wako wapi? Watuletee basi chanjo za kwetu ili kuiepusha nchi yetu kusumbuliwa na wazungu/mabeberu kulazimisha tupewe chanjo zao.
 
😆😆😆
 
Wametengeneza ili wajiue halafu watafute kinga ili wasife! Kweli wanastahili kuitwa mabeberu.

Amandla...
Ndio maana walianza kututabiria maiti zetu tutaziokota mabarabarani lakini Mungu si John wao ndo imewageukia
 
Hapa mtumbwi umeanza kuingia maji - kila mmoja na mbinu yake ya medani kujiokoa
 
Ndio maana mnaabiwa msifikiri wazungu wanaipenda kihivyo. Waafrika inabidi kujitambua kama atakaye tukimbilie pale tukiwa na matatizo yetu.
Tunajitambua vipi wakat tuliowaamini na tukawapa kura, kuanzia breakfast, lunch na dinner wanakula kwa wazungu


Baadae unaskia mkataba 16% tunachukua sisi iliyobaki kwa weupe
 
Tunajitambua vipi wakat tuliowaamini na tukawapa kura, kuanzia breakfast, lunch na dinner wanakula kwa wazungu


Baadae unaskia mkataba 16% tunachukua sisi iliyobaki kwa weupe
16% ya ubia + 50% ya faida + kodi, tena bila kutoa senti tano ya mtaji, unafikiri nani mwenye akili hapo?
 
Una 16% ya ubia lakini unapata 50% ya faida? Kwa nini usiwe na 50%?

Amandla...
Kampuni ikipata hasara, tutadhurika kwa 16% tu, ikipata faida tunalamba 50%. Kumbuka hujatoa senti tano ya mtaji au gharama yoyote.
 
Yeye kakimbilia Chato! Hata mwanzo ngoma ilivyo kuwa nzito alihamishia ikulu Chato
 

Hivi unajua serikali inapata msaada wa chanjo za watoto na wizara ya afya inaenda kwa misaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…