mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Ndo maana mmempa Uenyekiti wa kudumu wa CHADEMA maana hakuna mwingine mwenye akili wa kukiongoza chamaWapinzani mko wabishi sana, Corona ya kwanza tumeishida wote nyinyi mashahidi, ya pili tupeni muda kidodo kama wiki mbili nayo itayeyuka.