Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #121
Subiri kidogo, kisu kinagusa mfupa wako ili bwana ako ale afurahianyways ngoja nikae kimya, ila kwa kifupi now naunga mkono hizi takataka zote kufukuzwa/ kunyimwa fursa ya kurudi bungeni maana kwao wapo tayari kwa lolote ilimradi wapewe misaada. I bet kama Lisu angeshinda urais muda huu tungekua kwenye intensive lockdown ili tuu mabwana wale wafurahi.
Ok Sawa haina neno wao Ni takataka Ila kumbuka Kuwa if education is expensive try ignorance...sasa tulia uone ujinga ulivo aghali.anyways ngoja nikae kimya, ila kwa kifupi now naunga mkono hizi takataka zote kufukuzwa/ kunyimwa fursa ya kurudi bungeni maana kwao wapo tayari kwa lolote ilimradi wapewe misaada. I bet kama Lisu angeshinda urais muda huu tungekua kwenye intensive lockdown ili tuu mabwana wale wafurahi.
POLENI KWA MISIBA YA VIONGOZI....Pumbav nyieMbowe anaongea kama mtu aliyekata tamma na hawezi kwenda mbele mpaka apate msaada. Majuzi rais Magufuli alisema ni aibu kwa taifa kushindwa kutengeneza dawa zake zenyewe, leo tunaona mgawano wa chanjo ya CoronZ
Sitaongeza neno lolote , jionee mwenyewe .
View attachment 1688331
Kani watu kufa wameanza 2021? Hata wewe hapo ulipo huna muda mrefu jiandae.POLENI KWA MISIBA YA VIONGOZI....Pumbav nyie
Acha upuuzi.Kani watu kufa wameanza 2021? Hata wewe hapo ulipo huna muda mrefu jiandae.
Bado unamsimamo huu?Mhe Mbowe, kamanda na kiongozi wangu. Ugonjwa huu hautupendi waafrika. Siyo kwamba jpm amesikilizwa na Mungu halafu akatuepusha na gonjwa hili. Hapana. Gonjwa hili halitupendi.
Covid-19 ni sawa kabisa na mafua makali ambayo kwa miaka nenda rudi tumeishi nayo huku.
Kwahiyo tusiingie kwenye mtego wa wazungu wakaanza kutichezesha mchezo wa kufuata masharti yao kama vile lockdown, chanjo, fumigation, kufunga mashule, magest hausi, masherehe n.k.
Ingekuwa ugonjwa huu unatupenda tungekuwa tumekufa. Kwahiyo tulia mhe Mbowe, acha tupige kazi maisha yaende.
Jiwe kabahtisha tu kwa kuwa ugonjwa hautupendi.
Hakuna kitu kinaitwa "kifo cha uzembe" siku yako iliyoandikwa ikifika.....imefika. hakuna ujanja, wala ujuwaji.Acha upuuzi.
Kufa kila mtu atakufa lakini kufa kwa uzembe ni upuuzi.
Sasa hospital zina kazi gani we mpumbavu.Hakuna kitu kinaitwa "kifo cha uzembe" siku yako iliyoandikwa ikifika.....imefika. hakuna ujanja, wala ujuwaji.
Ana akili kweli Ila kikubwa ni msikivu na mstaarabu. Amezungukwa na wazee wenye akili nyingi Amina Prof Safari, Prof Balegu na wengine. Ukichanganya ustaarabu na usikivu wake na vichwa vilivyomzunguka lazima awe super.Sitaongeza neno lolote , jionee mwenyewe .
View attachment 1688331
Bado msimamo wangu uko pale pale!!Bado unamsimamo huu?
Nimeona nikurudishe huku,yuko wapi Kijazi na maalim seifu leo?Mnadanganywa kwamba tz hakuna corona bali nimonia kali na wazembe kama wewe mnakubali.Mhe Mbowe, kamanda na kiongozi wangu. Ugonjwa huu hautupendi waafrika. Siyo kwamba jpm amesikilizwa na Mungu halafu akatuepusha na gonjwa hili. Hapana. Gonjwa hili halitupendi.
Covid-19 ni sawa kabisa na mafua makali ambayo kwa miaka nenda rudi tumeishi nayo huku.
Kwahiyo tusiingie kwenye mtego wa wazungu wakaanza kutichezesha mchezo wa kufuata masharti yao kama vile lockdown, chanjo, fumigation, kufunga mashule, magest hausi, masherehe n.k.
Ingekuwa ugonjwa huu unatupenda tungekuwa tumekufa. Kwahiyo tulia mhe Mbowe, acha tupige kazi maisha yaende.
Jiwe kabahtisha tu kwa kuwa ugonjwa hautupendi.
Kifo cha Maalim Seif na Kijazi ndiyo kinakutisha sana? Vifo vingapi vimetokea kabla yao vimepita kimya kimya?Nimeona nikurudishe huku,yuko wapi Kijazi na maalim seifu leo?Mnadanganywa kwamba tz hakuna corona bali nimonia kali na wazembe kama wewe mnakubali.
Huyu kinjekitile anatumaliza.
Kwahiyo kwa mtazamo wako yoyote anayeenda hospitali ni lazima kwa asilimia 100 atoke salama na kurudi nyumbani akiwa hai.Sasa hospital zina kazi gani we mpumbavu.
Si zifungwe sababu mtu hutakiwi kutibiwa siku yako ikifika imefika.
Acha majibu ya kitoto.
Wapo vizuri katika kutengeneza magonjwaYaani hawa jamaa toka mwanzo walishajua kuwa kitakuwepo na second wave ya corona. Kama ni hela watazipiga asee, maana katika hilo la kutengeneza ugonjwa wamefanikiwa.