Video: Freeman Mbowe ni miongoni mwa watu wachache wenye akili kubwa ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao , Asante Mungu kwa zawadi hii

Video: Freeman Mbowe ni miongoni mwa watu wachache wenye akili kubwa ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao , Asante Mungu kwa zawadi hii

anyways ngoja nikae kimya, ila kwa kifupi now naunga mkono hizi takataka zote kufukuzwa/ kunyimwa fursa ya kurudi bungeni maana kwao wapo tayari kwa lolote ilimradi wapewe misaada. I bet kama Lisu angeshinda urais muda huu tungekua kwenye intensive lockdown ili tuu mabwana wale wafurahi.
Subiri kidogo, kisu kinagusa mfupa wako ili bwana ako ale afurahi
 
anyways ngoja nikae kimya, ila kwa kifupi now naunga mkono hizi takataka zote kufukuzwa/ kunyimwa fursa ya kurudi bungeni maana kwao wapo tayari kwa lolote ilimradi wapewe misaada. I bet kama Lisu angeshinda urais muda huu tungekua kwenye intensive lockdown ili tuu mabwana wale wafurahi.
Ok Sawa haina neno wao Ni takataka Ila kumbuka Kuwa if education is expensive try ignorance...sasa tulia uone ujinga ulivo aghali.
 
Mbowe anaongea kama mtu aliyekata tamma na hawezi kwenda mbele mpaka apate msaada. Majuzi rais Magufuli alisema ni aibu kwa taifa kushindwa kutengeneza dawa zake zenyewe, leo tunaona mgawano wa chanjo ya CoronZ
POLENI KWA MISIBA YA VIONGOZI....Pumbav nyie
 
Tunahitaji kuomba sana maana ushabiki ni mwingi mno. Wakati mwingine mashabiki wanaweza wakasababisha beki ajifunge au mfungaji akapaisha Mpira. Nafasi ya rais ni nafasi ngumu na kubwa sana, inawezekana anayoyaona ni makubwa kuliko, na inawezekana tungeyaona tungeandika na kushabikia zaidi. Tunahitaji kuungana na kasimama kama taifa, vifo vinatisha, lakini ukweli juu ya vifo hivyo unatisha zaidi, na mayowe kimekuwa kimbunga, mbaya zaidi wanasiasa wanapiga kelele za kukomoana, hapo ndipo penye mtihani.
 
Mhe Mbowe, kamanda na kiongozi wangu. Ugonjwa huu hautupendi waafrika. Siyo kwamba jpm amesikilizwa na Mungu halafu akatuepusha na gonjwa hili. Hapana. Gonjwa hili halitupendi.

Covid-19 ni sawa kabisa na mafua makali ambayo kwa miaka nenda rudi tumeishi nayo huku.

Kwahiyo tusiingie kwenye mtego wa wazungu wakaanza kutichezesha mchezo wa kufuata masharti yao kama vile lockdown, chanjo, fumigation, kufunga mashule, magest hausi, masherehe n.k.

Ingekuwa ugonjwa huu unatupenda tungekuwa tumekufa. Kwahiyo tulia mhe Mbowe, acha tupige kazi maisha yaende.

Jiwe kabahtisha tu kwa kuwa ugonjwa hautupendi.
Bado unamsimamo huu?
 
Acha upuuzi.

Kufa kila mtu atakufa lakini kufa kwa uzembe ni upuuzi.
Hakuna kitu kinaitwa "kifo cha uzembe" siku yako iliyoandikwa ikifika.....imefika. hakuna ujanja, wala ujuwaji.
 
Hakuna kitu kinaitwa "kifo cha uzembe" siku yako iliyoandikwa ikifika.....imefika. hakuna ujanja, wala ujuwaji.
Sasa hospital zina kazi gani we mpumbavu.

Si zifungwe sababu mtu hutakiwi kutibiwa siku yako ikifika imefika.

Acha majibu ya kitoto.
 
Mhe Mbowe, kamanda na kiongozi wangu. Ugonjwa huu hautupendi waafrika. Siyo kwamba jpm amesikilizwa na Mungu halafu akatuepusha na gonjwa hili. Hapana. Gonjwa hili halitupendi.

Covid-19 ni sawa kabisa na mafua makali ambayo kwa miaka nenda rudi tumeishi nayo huku.

Kwahiyo tusiingie kwenye mtego wa wazungu wakaanza kutichezesha mchezo wa kufuata masharti yao kama vile lockdown, chanjo, fumigation, kufunga mashule, magest hausi, masherehe n.k.

Ingekuwa ugonjwa huu unatupenda tungekuwa tumekufa. Kwahiyo tulia mhe Mbowe, acha tupige kazi maisha yaende.

Jiwe kabahtisha tu kwa kuwa ugonjwa hautupendi.
Nimeona nikurudishe huku,yuko wapi Kijazi na maalim seifu leo?Mnadanganywa kwamba tz hakuna corona bali nimonia kali na wazembe kama wewe mnakubali.

Huyu kinjekitile anatumaliza.
 
Nimeona nikurudishe huku,yuko wapi Kijazi na maalim seifu leo?Mnadanganywa kwamba tz hakuna corona bali nimonia kali na wazembe kama wewe mnakubali.

Huyu kinjekitile anatumaliza.
Kifo cha Maalim Seif na Kijazi ndiyo kinakutisha sana? Vifo vingapi vimetokea kabla yao vimepita kimya kimya?

Corona ipo, lkn maisha yaendelee hivi hivi. Sasa unataka tufanye nn ili hali suluhisho la korona hakuna dunia nzima?
 
Wakuu mbona kwangu kila nikitaka kuview attachment inanigomea, natumia JF app na nime update juzi tu.
 
Sasa hospital zina kazi gani we mpumbavu.

Si zifungwe sababu mtu hutakiwi kutibiwa siku yako ikifika imefika.

Acha majibu ya kitoto.
Kwahiyo kwa mtazamo wako yoyote anayeenda hospitali ni lazima kwa asilimia 100 atoke salama na kurudi nyumbani akiwa hai.

Halafu unasema mimi mjinga na mpumbavu. Kweli akili ni nywele.
 
Yaani hawa jamaa toka mwanzo walishajua kuwa kitakuwepo na second wave ya corona. Kama ni hela watazipiga asee, maana katika hilo la kutengeneza ugonjwa wamefanikiwa.
Wapo vizuri katika kutengeneza magonjwa
 
Back
Top Bottom