Video: Freeman Mbowe ni miongoni mwa watu wachache wenye akili kubwa ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao , Asante Mungu kwa zawadi hii

Hivi unajua serikali inapata msaada wa chanjo za watoto na wizara ya afya inaenda kwa misaada
Ndio maana unaambiwa ni aibu kwa nchi kutojiwezesha kupata dawa zake yenyewe. Ni muda muafaka kuepukana na omba omba ya vitu kama dawa. Mbowe anataka kuturudisha nyuma na kukimbilia kuomba misaada kwa kila kitu.
 
Mzee wa bapa anataka kutupoteza
 
Ndio maana unaambiwa ni aibu kwa nchi kutojiwezesha kupata dawa zake yenyewe. Ni muda muafaka kuepukana na omba omba ya vitu kama dawa. Mbowe anataka kuturudisha nyuma na kukimbilia kuomba misaada kwa kila kitu.

Uliandika kama vile tayari tunajitegemea! Sasa tutabadilika vipi kama wataalamu wetu nao badala ya kuja na suluhu ni walalamishi na wanaongea vitu bila kuwa na takwimu. Ukiacha kugundua dawa utengenezaji wa dawa hasa za vidonge ni rahisi ukipewa fomular za dawa lakini mpaka leo hata dawa za malaria, asprin , anti biotic tunatoa India!! jiulize. Jilize kwenye Corona wataalamu wetu wamefanya nini zaidi ya kulaumu na kuchanganya wananchi!!
 
Ni rahisi kuongea na kulaumu kama nafsi yako inapenda kuongea na kulaumu. Kuna tafiti ngapi za magonjwa zinafanyika hapa Tanzania? Tena zingine kwa pesa ya serikari na zingine kwa pesa za wawekezaji. Lakini yote tisa, bila wewe na mimi kufanya kazi na kulipa kodi unafikiri hizo tafiti na dawa zitapatikanaje? Wazungu wanafanya kazi, wanalipa kodi na kodi ndio hiyo wana tengeneza dawa. Imefika wakati na sisi tujitegemea kwa kutumia uwezo wetu wa kifedha na kitaalamu. Kama corona ya kwanza tuliieweza na ya pili itawezekana tu.
 
Hiki ndiyo kitu ambacho Waafrica wengi hawajui! Wafanyakazi na wagunduzi wa dawa kuna madaktari wengi kutoka Africa, India , Japan na Korea kuliko hata wazungu!. State moja tu ya California ina MD-Madaktari wenye asili ya Nigeria kuliko nchi nzima ya Nigeria! jiulize hapo. Tatizo ni viongozi walalamishi sio kodi wala nini! wasomi wetu na viongozi ndiyo tatizo

Unasema kodi magari ya serikali yanaanzia bilioni 200 za kitanzania unafikiria nini! Yaani tuko serious kweli kununua magari ya bilioni 200-400 wakati hatuwezi kutengeneza hata kidonge!
 
Rais anaposemq ni aibu kwa taifa kushindwa kutengeneza dawa zake yenyewe, yeye kama rais anaina mtu wa kwanza kulaumiwa kwa hili ni nani?

Huyu rais anaelewa kazi yake?

Mbona na yeye kapewa uongozi analalamika kama wananchi wasio na dhamana ya uongozi?
Anamaanisha research center za taifa siyo wananchi
 
Hiki ndiyo kitu ambacho Waafrica wengi hawajui! Wafanyakazi na wagunduzi wa dawa kuna madaktari wengi kutoka Africa, India , Japan na Korea kuliko hata wazungu!. State moja tu ya California ina MD-Madaktari wenye asili ya Nigeria kuliko nchi nzima ya Nigeria! jiulize hapo. Tatizo ni viongozi walalamishi sio kodi wala nini! wasomi wetu na viongozi ndiyo tatizo

Unasema kodi magari ya serikali yanaanzia bilioni 200 za kitanzania unafikiria nini! Yaani tuko serious kweli kununua magari ya bilioni 200-400 wakati hatuwezi kutengeneza hata kidonge!
I ague that
 
Tunajitambua vipi wakat tuliowaamini na tukawapa kura, kuanzia breakfast, lunch na dinner wanakula kwa wazungu

Baadae unaskia mkataba 16% tunachukua sisi iliyobaki kwa weupe
Uwezo mdg wa kuelewa 😂😂, huo mkataba baba laooo, hata mtoto wangu wa wa 2 aliuelewa na akasema Magu is the greatest leader
 
Mtu mwenye mamlaka nan? dhamana ya mwisho kuhusu research centers za taifa ni nani?
We unadhan Rais anamajukum ya kuaangalia research centers tuu😂😂, hiyo n moja wapo that's why anawahimiza wafanye juu chin chanjo na tiba vipatikane tz na siyo tununue chanjo ya sh 104+ trion
 
Hiki ndiyo kitu ambacho Waafrica wengi hawajui! Wafanyakazi na wagunduzi wa dawa kuna madaktari wengi kutoka Africa, India , Japan na Korea kuliko hata wazungu!. State moja tu ya California ina MD-Madaktari wenye asili ya Nigeria kuliko nchi nzima ya Nigeria! jiulize hapo. Tatizo ni viongozi walalamishi sio kodi wala nini! wasomi wetu na viongozi ndiyo tatizo

Unasema kodi magari ya serikali yanaanzia bilioni 200 za kitanzania unafikiria nini! Yaani tuko serious kweli kununua magari ya bilioni 200-400 wakati hatuwezi kutengeneza hata kidonge!
Moja ya sababu namuita Magufuli "country bumpkin" ni hizi habari za "wazungu this, wazungu that".

Dichotomy ya kizamani. Kijima.

Siku hizi lab kubwa zote researches zinafanywa na watu waliochanganyika kutoka mataifa mbalimbali. Siwezi kushangaa nikisikia hata Watanzania wamo.
 
anyways ngoja nikae kimya, ila kwa kifupi now naunga mkono hizi takataka zote kufukuzwa/ kunyimwa fursa ya kurudi bungeni maana kwao wapo tayari kwa lolote ilimradi wapewe misaada. I bet kama Lisu angeshinda urais muda huu tungekua kwenye intensive lockdown ili tuu mabwana wale wafurahi.
Bongo lala wewe,huna lolote.
 
We unadhan Rais anamajukum ya kuaangalia research centers tuu[emoji23][emoji23], hiyo n moja wapo that's why anawahimiza wafanye juu chin chanjo na tiba vipatikane tz na siyo tununue chanjo ya sh 104+ trion
Kwani wapi nimesema rais ana majukumu ya kuangalia research centers tuu?
 
Back
Top Bottom