Na hapo bado kuna hiyo namba inayoishia na 26 ambayo sio yake. Sasa atapiga wangapi? Mwisho akutane na kiboko yake atenguliwe kiuno.Maskini nmemhurumia huyo anayepigwa, ila huyo mke badala adeal na mume wake anahangaika na mchepuko, sasa atawapiga wangapi kama mume mwenyewe ni mhuni... Hapo ndio tunakoseaga.
Ukute kwel alimwambia hana mke, naye akaamini.
Acha tu dada angu, mimi kuna demu nimemwambia sina mke, nachepuka nae miezi sita sasa, sasa leo nimejichanganya nikamueka wife whatsapp dp. kaona kauliza huyo nani? nikamwambia dada angu [emoji23][emoji23], akanitumia picha yake, kasema toa hiyo weka hii yangu, hapa nahangaika kumuweka ile staili awe anajiona mwenyewe, nimesikitishwa na hii video, itabidi nimuache tuepukane na hiki kikombe.Maskini nmemhurumia huyo anayepigwa, ila huyo mke badala adeal na mume wake anahangaika na mchepuko, sasa atawapiga wangapi kama mume mwenyewe ni mhuni... Hapo ndio tunakoseaga.
Ukute kwel alimwambia hana mke, naye akaamini.
Acha tu dada angu,mi kuna demu nimemwambia sina mke,nachepuka nae miezi sita sasa,sasa leo nimejichanganya nikamueka wife whatsapp dp.kaona kauliza huyo nani?nikamwambia dada angu [emoji23][emoji23],akanitumia picha yake, kasema toa hiyo weka hii yangu,hapa naangaika kumuweka ile staili awe anajiona mwenyewe,nimesikitishwa na hii video,itabidi nimuache tuepukane na hiki kikombe.
Sent using Jamii Forums mobile app
nimejiskia vibaya sana, wanaume siku zote ndio wa kubebeshwa lawama hamna mwanaume anayemwambia mwanamke kuwa ana mtu wakati anatongoza, huyo dada angetumia akili tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vicent popote ulipo mke wako amekufumania ukakimbia ukamwacha kimada wako akila kipigo.
Angalia video
View attachment 1457833
Looh [emoji23][emoji23],ni sawa na kuvaa mabomu kabisa.hahahahah umenichekesha kweli hapo kumuweka mchepuko kwenye WhatsApp dp, mtihani huo lol
Huyo mke wa vicent alitakiwa adili na vicenti!Vicent popote ulipo mke wako amekufumania ukakimbia ukamwacha kimada wako akila kipigo.
Angalia video
View attachment 1457833
Sio mazuri ila yanachekesha, sasa mkuu ona tabu unayoipataAcha tu dada angu,mi kuna demu nimemwambia sina mke,nachepuka nae miezi sita sasa,sasa leo nimejichanganya nikamueka wife whatsapp dp.kaona kauliza huyo nani?nikamwambia dada angu [emoji23][emoji23],akanitumia picha yake, kasema toa hiyo weka hii yangu,hapa naangaika kumuweka ile staili awe anajiona mwenyewe,nimesikitishwa na hii video,itabidi nimuache tuepukane na hiki kikombe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pumbavu sana, jimke ndo hili hata mi nachepuka, unakuta linaongea 24/7 'limachame hili, nilikua na mmoja anaongea hivi akasingizia nalala na hg kwa visu.No wonder mume kacheat, dealing with a pschopath inahitaji wito.
Hapa na ushahidi wa kesi kautengeneza mwenyewe! Inflicting Bodily injury.Wanawake wengi mi huwa nawashangaa Unamfumania mumeo una komaa na uo mchepuko haya nu matumizi mabaya ya Akili na Nguvu..utapigana na Wanawake Wangapi?
Pambana na Mumeo sio Mwanamke mwenzio ata yeye alitongozwa kama Wewe.
Ndio nawaza hapa,shida yote ya nini? Ngoja nimpunguze mdogo mdogo,sio poa kabisa aiseeSio mazuri ila yanachekesha, sasa mkuu ona tabu jnayoipata