Kwa hakika akiingia mjengoni hawezi kutetea haki ukizingatia upande unaomuingiza huko.Kuna aina ya maisha mtu anaishi, yanaonyesha kabisa yupo kimaslahi zaidi. Ukifuatlia mienendo ya baadhi ya watumishi watu hawa na matukio fulanifulani uka-connect dots unakuja kuona picha nyingine tofauti kabisa na yale anayoaminisha watu wake.
Muombe sana Mungu akujaalie hekima ya kutambua na kuishi maisha yako wewe kama wewe na kumtambua yule anayefaa kukuongoza.
Yeye anafanya mazingaombwe tuAskofu, hivi vyeo huwa wanajipa au wanapewa vya kuitwa askofu.
Gwajima ni zaidi ya bulldozer maana ukakasi kila sehemu, watu wanafata mujiza tu kwake hamna cha zaidi
😆😆😆sisi wenye Ziro tuna comment wapi
Yaelekea kashashuka ndio maana anawahi nafasiKwa vile ndugu mtumishi umeamua mwenyewe kugombea ubunge basi tuvumiliane, hizi ndio siasa zetu kaka yangu, kukumbushana ni wajibu.
View attachment 1496174
huyo atakuwa ni roho mtaka kitu.Atakuja kusema Roho Mtakatifu amemlazimisha agombee Ubunge ili aipeleke Injili Mjengoni.
Na walisema kinana anamaliza tembo wetu na wakadai wanao ushahidi, mwisho kinana aliombwa radhi kwa hiyo hakuna kipya kwa gwajimaUkigeu geu kwa wanadamu ni kawaida
Mbona CHADEMA walituamisha kuwa LOWASA hafai lakini baadae wakasema anafaa na akawa mgombea wao kiti cha uraisi!
Maisha bila unafiki hayaendi
OhoooooJamani mwenye kale ka clip ka huyu mtumishi wa bwana akila ka tunda ka mti wa kati hebu atupiepo tujikumbushe!!
Kwa vile ndugu Mtumishi umeamua mwenyewe kugombea Ubunge basi tuvumiliane, hizi ndio siasa zetu kaka yangu, kukumbushana ni wajibu.
View attachment 1496174
Ahahahaaaaa tatizo maneno yake yanamfungaMtapata tabu sana, Mtumishi wa Mungu lazima aipeleke injili bungeni,
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Acha nu rephrase namna hii.Kwa hivyo wenye misimamo wote ni fools!!??
rephrase your qn,
Najibu tu. Sina interest zozote zile.Unapanua magoli?
Kwa vile ndugu Mtumishi umeamua mwenyewe kugombea Ubunge basi tuvumiliane, hizi ndio siasa zetu kaka yangu, kukumbushana ni wajibu.
View attachment 1496174
tutaendelea na uzalendo wa kuwaumbua hadharani bila hurumaOgopa sana technology Mkuu. Matapeli waongo etc hawakawii kuumbuliwa na technology.