Nami nashangaa, Mungu amekataza mwanadamu asiape kwa kinywa chake. Mtumishi wa Mungu ambaye ni halisi hawezi kuacha ministry yake na kwenda kugombea siasa.Kwa vile ndugu Mtumishi umeamua mwenyewe kugombea Ubunge basi tuvumiliane, hizi ndio siasa zetu kaka yangu, kukumbushana ni wajibu.
View attachment 1496174
Je majirani zake wote wameokoka na ni waumini wake?. Kama hao anaoishi nao kila siku ameshindwa kuwabadilisha je hao ambao anakutana nao mara 4 kwa mwaka ataweza kuwabadilisha?.Mtapata tabu sana, Mtumishi wa Mungu lazima aipeleke injili bungeni,
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Kwani kila msemo ni sheria?Tukumbuke pia kuwa kuna msemo wa Kiingereza usemao
"It is ONLY A FOOL WHO DOES NOT CHANGE HIS MIND"
Kwa kiswahili
"NI MTU MJINGA PEKEE ambaye HUWA HABADILI MSIMAMO ama MAWAZO yake"
Unalionaje hilo Erithrocyte?
Gwajima ni tapeli.Mtapata tabu sana, Mtumishi wa Mungu lazima aipeleke injili bungeni,
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
The stupid self proclaimed bishop is an opportunist.Ila gwajima hajielewi, mara anajipendekeza chadema, mara ccm saivi tena anautaka ubunge
Sinalete ushahidi
Chadema ni wanasiasa ambao kwao uongo na ujanja ujanja ni sehemu ya kazi zao.Ukigeu geu kwa wanadamu ni kawaida
Mbona CHADEMA walituamisha kuwa LOWASA hafai lakini baadae wakasema anafaa na akawa mgombea wao kiti cha uraisi!
Maisha bila unafiki hayaendi
Yaani umeniwahi, nilitaka kusema maneno yanayofanana na uliyoyasema,Atakuja kusema Roho Mtakatifu amemlazimisha agombee Ubunge ili aipeleke Injili Mjengoni.
Asante kwa kutunza kumbukumbu.Kwa vile ndugu Mtumishi umeamua mwenyewe kugombea Ubunge basi tuvumiliane, hizi ndio siasa zetu kaka yangu, kukumbushana ni wajibu.
View attachment 1496174
Bro tuache kwanza, bado tunamtathmini kwenye hii video yake anayokula yule kondoo mweupe.Kwa vile ndugu Mtumishi umeamua mwenyewe kugombea Ubunge basi tuvumiliane, hizi ndio siasa zetu kaka yangu, kukumbushana ni wajibu.
View attachment 1496174
Halafu uno tatu tu wazungu mwaaaaa.Bro tuache kwanza, bado tunamtathmini kwenye hii video yake anayokula yule kondoo mweupe.
Huyu mchungajifeki ametudhalilisha sana mabaharia, haswa marehem mwenyekiti wetu GEORGE FLOYD (R.i.P)
Haiwezekani bao tu atoe mlio ule kama engine ya fiat
hafai hata kuwa mbunge, akaendelee kucheza pornHalafu uno tatu tu wazungu mwaaaaa.
Kimaumbile ya kibinadamu yanawezekana na nje ya uaskofu yeye ni mwanadamu na huo ni udhaifu wa kimaumbile;Chadema ni wanasiasa ambao kwao uongo na ujanja ujanja ni sehemu ya kazi zao.
Gwajima aliwadanganya watu kwamba yeye ni Askofu
Askofu ni kiongozi wa kiroho.
Kiongozi huwezi kuwa mtu shortcuts kama wanasiasa.
So li tapeli Gwajima linatakiwa kukanusha hadharani kwamba he is not a bishop , he never was, then aendelee na takataka zake.
Akili vichwani mwenu wapiga kura. Angalieni watu wanaokwenda Bungeni kama ni kwa ajili ya kiwawakilisha su kujiwakilisha wenyewe.Kwa vile ndugu Mtumishi umeamua mwenyewe kugombea Ubunge basi tuvumiliane, hizi ndio siasa zetu kaka yangu, kukumbushana ni wajibu.
View attachment 1496174