Shujaa huyo. Wasomali wengi wanahitajika Tanzania ili heshima kwa wananchi irudi.

Huyu ndio shujaa wa kweli. Yule mwingine alikufa kwa corona nashangaa watu wakamwita eti shujaa wa Afrika!!
[emoji3]
 

Mkuu watu humu kwenye Keyboard wanaandika tu. Hawana lolote. Risasi moja tu wanajikojolea mpaka puani. Just let them ejaculate their frustrations. It will help their Ego.
 
Rest in peace,yawezekana ulifanyiwa maovu ukaona njia ni kufa tuu ila kwa kulipiza naimani kuna wengi wanapitia magumu kwa kutendewa visivyo ila pia natamani kuona njia mmbadala ikitumika kuokoa roho zote ,swali itawezekanaje?
 
Hamza ni mtu na nusu,ccm wanajua hilo kua kada wao kindakindaki ni gaidi kma isis au islamic state,ccm oyeer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…