Rumi96
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 818
- 1,975
Kujua kutumia silaha kwa kazi za madini ni kawaida, kuna JkT, Mgambo, kote wanafundisha.Hamza Kama Alikuwa Mtu Wa Kawaida Kajulia Wapi Matumizi Ya Silaha? Kuna Kitu Nyuma Ya Pazia Nadhani Hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujua kutumia silaha kwa kazi za madini ni kawaida, kuna JkT, Mgambo, kote wanafundisha.Hamza Kama Alikuwa Mtu Wa Kawaida Kajulia Wapi Matumizi Ya Silaha? Kuna Kitu Nyuma Ya Pazia Nadhani Hapa
Ooh! Sawa NimekusomaKujua kutumia silaha kwa kazi za madini ni kawaida, kuna JkT, Mgambo, kote wanafundisha.
Hamza anaonewa huruma kutokana na rekodi yake ya maisha. Inaonekana alikuwa mtu muungwana sana, tofauti sana na polisi wetu ambao wamejaa uonevu. Jambo la pili, ni ukweli ambao haujathibitishwa kuwa Hamza alidhulumiwa na polisi madini yake.
Tatu, Hamza ni muislam, na kwa muislam, kama alidhulumiwa, kwa kadiri ya mafundisho ya imani yake, kulipiza kisasi ni halali.
Kusema kuwa ni wafuasi wa Mbowe, ndiyo wamehuzunishwa na kifo cha Hamza ni ni uwongo na uwendawazimu.
Viongozi wa CCM, serikali na wananchi kule Chunya alikokuwa anafanyia shughuli zake Hamza, wote wametamka kuwa wamesikitishwa sana na kifo cha Hamza kwa sababu alikuwa ni mtu mzuri. Sikumsikia hata mmoja akisema amesikitishwa na vifo vya askari!! Nimeshangaa sana. Kama kuna wenye akili ndani ya jeshi la polisi, wajitafakari sana. Kwa ufupi inaonekana polisi hawapendwi wala hawaaminiki. Ni kwa nini?
Kwenye masuala ya imani, ni ngumu sana kusema kuwa ukifa hakuna faida.Hapo namba 3. [emoji115]
Kumbe mafundisho ya dini ya kiislam yanaruhusu kufanya visasi !
Aisee?!
Actually huo ndio msingi wa Ugaidi ulipojikita.
Sasa hamuoni ni hasara ya kupoteza nafsi?
Hivi huwa mnapima kwa mbele matokeo ya kufanya visasi?
Visasi kwa wasio na hatia?!
Haya na yeye amepoteza maisha amefaidika na nini kwa yeye kulipiza kisasi?
Hata kama ikijakuthibitika kuwa kweli amedhulumiwa dhahabu,
Je dhahabu inalingana na thamani ya maisha ya mwanadamu?
Pesa zinatafutwa tu lakini uzima uhai unauzwa duka gani Duniani ?
Inashangaza na kusikitisha sana!
Kwenye masuala ya imani, ni ngumu sana kusema kuwa ukifa hakuna faida.
Mimi ni mkristo. Mitume wote waliuawa isipokuwa Yohana. Hao waliouawa, wangeweza kuachwa waishi kama wangekubali kutohubiri kwa hilo jina (Yesu Kristo), lakini waliona aheri wafe kuliko kuacha kulitamka jina Yesu Kristo.
Mtume Paulo anasema kuwa kufa ni faida, unasemaje juu ya hilo. Lakini hata kwenye masuala ya uzalendo, wanasema ni heshima kubwa kufa ukipigania haki za Taifa lako. Tulipigana na Amin kwa sababu alichukua sehemu ya nchi yetu, na tulipoteza askari wetu. Je, ilikuwa busara zaidi tutulie, tuwe chini ya Amin maana kwa wale Askari wetu kufa, walipata nini?
Unazungumza kwa mafundisho ya imani yako. Kama mafundisho ua imani yanatakatifuza ulipizaji kisasi, nawe ukasema siyo sahihi, maana yake unataka kusema hizo imani nyingine zisiwepo!!Kuhusu hao manabii hao walikuwa na special missions haitakuwa sahihi kutaka kujilinganisha nao na sisi ambao tumepewa uhai kuishi na kufuata maagizo ya Maandiko Matakatifu.
Na itakuwa ajabu sana mtu akisema ni mwenye imani halafu akakosa kwa na Subira pamoja na uwezo wa kustahamili mitihani ya maisha.
Mtu mwenye kulipiza kisasi ni mtu ambaye ameshindwa kustahamili , ameshindwa kusamehe, ameshindwa kimwachia Mungu, ameshindwa kuwa na subira n.k
Sasa kama mtu akisema ana imani akashindwa kustahamili mitihani vipi kwa yule mpagani asiye amini uwepo wa Mungu na nguvu zake?
[emoji2369][emoji2369]
Hapana iko shida mahala!
Unazungumza kwa mafundisho ya imani yako. Kama mafundisho ua imani yanatakatifuza ulipizaji kisasi, nawe ukasema siyo sahihi, maana yake unataka kusema hizo imani nyingine zisiwepo!!
Kumbe kweli Serikali haikukosea kumshitaki Mbowe na makosa ya UGAIDI, maana viongozi na baadhi ya wafuasi wa CHADEMA wamefurahia sana kitendo cha GAIDI HAMZA kuuwa askari na kuleta taharuki.Shujaa huyo. Wasomali wengi wanahitajika Tanzania ili heshima kwa wananchi irudi.
Huyu ndio shujaa wa kweli. Yule mwingine alikufa kwa corona nashangaa watu wakamwita eti shujaa wa Afrika!!
Alikua kada mtiifu wa chama, akatujengea na ofisiAkili za nyumbu hovyo kabisa.
Kumbe kweli Serikali haikukosea kumshitaki Mbowe na makosa ya UGAIDI, maana viongozi na baadhi ya wafuasi wa CHADEMA wamefurahia sana kitendo cha GAIDI HAMZA kuuwa askari na kuleta taharuki.
na huo ndio inasemekana ilikuwa mkakati wa Mbowe.
na endapo HAMZA asinge uwawa lazima Chadema wange mnunua ili kutekeleza uhalifu.
hii inathibitisha kuwa Chadema ni Kichaka cha wahalifu.