Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kushare na Ayo ili wengi waione.
Wewe naye ni tatizo kubwa...Vyombo vya habari vimetuangusha Watanzania.
..Inashangaza na kusikitisha kwamba coverage kubwa amepewa muuaji Hamza, badala ya askari waliopoteza maisha ktk tukio la mauaji.
..Tusiwasingizie wapinzani hapa kwani wao hawamiliki vyombo vya habari. Tuna tatizo la ueledi ktk vyombo vyetu vya habari.
Cc Pascal Mayalla
Nampataje AYO mkuu.Unaweza kushare na Ayo ili wengi waione
Ngoja nami niseme tu ,KWa jamaa Huyu, pitia video hii ambayo naiona japo simfaham ila Mungu kanipa KIBALI kupitia uso wa mtu ,Basi naweza kumtafakarisha mlengwa,so mnao mfaham vizuri mtanirekaebishaHii ni wakati wa maombolezo ya Magufuli.
View attachment 1911130
Naona wameacha hata kumsema Mbowe kuhusu "G" Word😆CCM wamenywea baada ya kugundua ni kada wao. Poleni MATAGA
Wewe naye ni tatizo kubwa.
Tukio la namna ile unataka coverage apewe nani?
Hakuna media ya kipumbavu itaacha kufuatilia undani wa Hamza na kuanza kuwapa watu wengine coverage.
Dhahabu ya mbeya Gram 1=100kGram moja ya dhahabu ni kiasi gani?.
Tatizo litakua ni utendaji wa jeshi letu la polisi. Hamza huyo anayeitwa muuaji, alikua anawaasa wananchi waondoke na kukaa mbali na eneo la tukio ili wasidhurike. Yeye alikua na POLISI tu. Think big...kwenye matukio kama haya victims ndio hupewa coverage kubwa na kuenziwa kuliko muuaji.
..hio ndio kawaida ktk nchi za wenzetu, nashangaa hapa Tanzania tunakwenda kinyume.
..tukio hili lingetokea Kenya au Rwanda sidhani kama muuaji angetangazwa na kukwezwa na vyombo vya habari kama inavyofanyika Tanzania.
Mkuu JokaKuu, pamoja na ukweli kuwa media yetu ina matatizo lukuki, lakini kwenye hili tukio, what is news is Hamza!. Kati ya watu 5 waliokufa kwenye tukio hilo, the big news ni mtenda tukio, muuaji na sio watendewa, walio uliwa!. Maswali ya kujiuliza besides who, what, when and how, wameisha kuibiwa, the biggest question is why, what is the motive behind, what is the causative agents, what are the underlying facts?. Je mhusika ni gaidi?, ni kichaa, alipata wazimu?, kwanini akawalenga polisi tuu?. Inawezekana miongoni mwa waliokufa kuna wengine wameuliwa na friendly fires...Vyombo vya habari vimetuangusha Watanzania.
..Inashangaza na kusikitisha kwamba coverage kubwa amepewa muuaji Hamza, badala ya askari waliopoteza maisha ktk tukio la mauaji.
..Tusiwasingizie wapinzani hapa kwani wao hawamiliki vyombo vya habari. Tuna tatizo la ueledi ktk vyombo vyetu vya habari.
Cc Pascal Mayalla
sio wafuasi wa mbowe, askari wenu ni waonevu kila siku watu wanapiga kelele kuhusu uonevu wao lakini kimya, sasa hayo ndo matokeo yake kama ya kina hamza.kwa nini wafuasi wa Mbowe wamefurahia sana kitendo kilicho fanywa na Hamza cha kuuwa Askari Polisi watatu ? na kuona kama kitendo hicho kilicho fanywa na Hamza dhidi ya Polisi ni cha kishujaa?!!!
Jeshi letu lazima litupie macho makali kwa hawa wahuni wachache.
Hamza anaonewa huruma kutokana na rekodi yake ya maisha. Inaonekana alikuwa mtu muungwana sana, tofauti sana na polisi wetu ambao wamejaa uonevu. Jambo la pili, ni ukweli ambao haujathibitishwa kuwa Hamza alidhulumiwa na polisi madini yake.kwa nini wafuasi wa Mbowe wamefurahia sana kitendo kilicho fanywa na Hamza cha kuuwa Askari Polisi watatu ? na kuona kama kitendo hicho kilicho fanywa na Hamza dhidi ya Polisi ni cha kishujaa?!!!
Jeshi letu lazima litupie macho makali kwa hawa wahuni wachache.