Video: Hatimaye Mwamba Freeman Mbowe amenyanyuka , aanza kuchechemea kwa Magongo

Video: Hatimaye Mwamba Freeman Mbowe amenyanyuka , aanza kuchechemea kwa Magongo

MWAMBA AMESIMAMA...! Lumumba watanunaa leo watahaha humu...
Pole Kiongozi wangu mhe, Mbowe.
 
Tunataka maendeleo ya watanzania sio kutafuta sympathy. Kati ya wote leo Mh ndio ame recognize uchapa kazi wa Silinde. wengine mnafanya nini

Huyo muheshimiwa yeye ndio kipimo cha uchapakazi? Hapo alikuwa anacheza siasa maana huyo Silinde kakubali kumsujudia.
 
... kiukweli ifike mahali Mbowe akabidhi kijiti kwa mtu mwingine! Ni kweli ni mhimili wa chama na amekitoa mbali ila ataendelea kuwa yeye tu hadi lini? Mtoto aliyezaliwa anamaliza chuo kikuu ngazi ya masters hamjui mwenyekiti mwingine wa chadema sio dalili nzuri sana na ni poor succession plan. Ushauri wa bure tu lakini.
Sasa atoke amwachie nani? Nafikiri kila akihisi kuachia hakuna wakumpokea kijiti
 
Hope hatasahau kueleza chimbuko la kuumia kwake maana huku wananchi taarifa nyingi zinatuchang'anya
 
.
FB_IMG_15918718110569346.jpg
 
... kiukweli ifike mahali Mbowe akabidhi kijiti kwa mtu mwingine! Ni kweli ni mhimili wa chama na amekitoa mbali ila ataendelea kuwa yeye tu hadi lini? Mtoto aliyezaliwa anamaliza chuo kikuu ngazi ya masters hamjui mwenyekiti mwingine wa chadema sio dalili nzuri sana na ni poor succession plan. Ushauri wa bure tu lakini.
Kama katiba yao ya chama inawaruhusu haina ubaya,Ubaya unakuja katika katiba ya nchi ndio hairuhusu kuvunjwa
 
Back
Top Bottom