Video: Hatimaye Mwamba Freeman Mbowe amenyanyuka , aanza kuchechemea kwa Magongo

Video: Hatimaye Mwamba Freeman Mbowe amenyanyuka , aanza kuchechemea kwa Magongo

... kiukweli ifike mahali Mbowe akabidhi kijiti kwa mtu mwingine! Ni kweli ni mhimili wa chama na amekitoa mbali ila ataendelea kuwa yeye tu hadi lini?

Mtoto aliyezaliwa anamaliza chuo kikuu ngazi ya masters hamjui mwenyekiti mwingine wa chadema sio dalili nzuri sana na ni poor succession plan. Ushauri wa bure tu lakini.
Huu ndio ulafi wa madaraka,hawana tofauti na sisiemu hawa,ukiwapa nchi watabadili mpaka katiba
 
Shetani konyagi kubwa kashindwa nakubali ila mwambieni Mbowe aachane na huyo shetani Kuna siku atamfanya vibaya akianguka kwa kumnywa

Mtu anakunywa konyagi then anaenda hospital anapewa dawa...

Hivi si wanasema ukilewa uwez kupewa dawa au
 
I am still on Cross road, tuseme ukweli, Mbowe kapatwa na nini? Hadi sasa hakuna mwenye jibu la uhakika. Mbowe anasema kavamiwa, uchunguzi wa polisi wa awali ulisema alifikishwa hosp usiku wa manane akiwa kaumia mguu wa kulia na kalewa chakari. Mbowe sasa aseme kwa mdomo wake tumsikie nini kilimpata pamoja kweli alikuwa kalewa chakari.
 
Mtu anakunywa konyagi then anaenda hospital anapewa dawa...

Hivi si wanasema ukilewa uwez kupewa dawa au
Unapewa bila shida .Dawa za kuondoa ulevi huwa zipo pia wanaondoa wanakupa Kama Ni jeraha unatibiwa tu na. Pombe zako
 
Shetani konyagi kubwa kashindwa nakubali ila mwambieni Mbowe aachane na huyo shetani Kuna siku atamfanya vibaya akianguka kwa kumnywa
Ni kweli,tena leo tunaona amekitunga bunge kwa kufungua vyuo na shule zote.

Tumpe hongera Mungu wetu wa Chato.
 
Sijui wanasiasa wanawapaga nini wafuasi wao mpaka bongo zao zinakuwa hivi!

Kuna wengine wanamuita mwenyekiti wao yesu na wengine ndio hawa!

Ukitaka kupima kiwango cha ukali wa dawa walizopewa jaribu kuwakosoa wenyeviti wao!

Pengine wenyeviti wao ni malaika!
 
... kiukweli ifike mahali Mbowe akabidhi kijiti kwa mtu mwingine! Ni kweli ni mhimili wa chama na amekitoa mbali ila ataendelea kuwa yeye tu hadi lini?

Mtoto aliyezaliwa anamaliza chuo kikuu ngazi ya masters hamjui mwenyekiti mwingine wa chadema sio dalili nzuri sana na ni poor succession plan. Ushauri wa bure tu lakini.
Ikiwa haamini mtu mwingine hilo nalo tatizo kubwa.
Chadema ina hazina ya uongozi ndio maana ccm imewaamini na kuwapa uwaziri na ukuu wa wilaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli Mungu anadhihakiwa. Mlevi chakari anashindwa kupanda ngazi anaanguka anaumia halafu anawadanganya watu na kusingizia kaumizwa na watu yote hayo yakiwa machukizo kwa Mungu na kumbe alitoka kwa kimada yakiwa ni machukizo mengine halafu leo mnasema kama si Mungu. Jamani Mungu yupi?? Tuache dhihaka wandugu
Kimya kina mshindo, so wait! Na kwa taarifa yako, Mungu hadhihakiwi, kusema anadhihakiwa unakosea! Labda umekosea lugha tu, lakini Mungu hadhihakiwi!
 
Back
Top Bottom