Video: Hatimaye Mwamba Freeman Mbowe amenyanyuka , aanza kuchechemea kwa Magongo

MWAMBA AMESIMAMA...! Lumumba watanunaa leo watahaha humu...
Pole Kiongozi wangu mhe, Mbowe.
 
Tunataka maendeleo ya watanzania sio kutafuta sympathy. Kati ya wote leo Mh ndio ame recognize uchapa kazi wa Silinde. wengine mnafanya nini

Huyo muheshimiwa yeye ndio kipimo cha uchapakazi? Hapo alikuwa anacheza siasa maana huyo Silinde kakubali kumsujudia.
 
Sasa atoke amwachie nani? Nafikiri kila akihisi kuachia hakuna wakumpokea kijiti
 
Hope hatasahau kueleza chimbuko la kuumia kwake maana huku wananchi taarifa nyingi zinatuchang'anya
 
Kama katiba yao ya chama inawaruhusu haina ubaya,Ubaya unakuja katika katiba ya nchi ndio hairuhusu kuvunjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…