Video: Hatimaye Mwamba Freeman Mbowe amenyanyuka , aanza kuchechemea kwa Magongo

Kamtafute lijualikali
 
Shetani anaishia kuona aibu sikuzote
@SkyEclat usicomment tu ovyo kwa sababu tu ya ushabiki ebu uwe unafikiria unaweza ukakuta Ni kweli mbowe alidondoka kwa sababu ya ulevi je hiyo kauli Nani atakuwa inamuhusu?
 
@SkyEclat usicomment tu ovyo kwa sababu tu ya ushabiki ebu uwe unafikiria unaweza ukakuta Ni kweli mbowe alidondoka kwa sababu ya ulevi je hiyo kauli Nani atakuwa inamuhusu?
Na alipodondoka alipata hallucinations kwa kusikia maneno kama β€œ tuone utafanyaje kampeni na uache kabisa kumsema fundenge”.
 
Chadema mnapata faida gani mkiisingizia serikali mambo mabaya? Yaani mtu ateleze aanguke, serikali ndio ilaumiwe?
Mbona Kitwanga alipoingia Bungeni kujibu maswali akiwa amelewa mlimsema? Kwa nini hamumkanyi Mwenyekiti wenu? Pombe ni mbaya. Siku nyingine atateleza aangukie uso, atoke meno ya mbele.Mtasema katekwa na kung'olewa meno. Na Ubalozi wa Marekani wao hawabalansi taarifa, wanakimbilia kutoa taarifa.
Pathetic.
 
Hakika Mukya ni mtamu sana yani Mbowe kakumbuka utamu wa siku ile kabla ya kunywa konyagi kaona isiwe tabu bora anyanyuke kitumbua kisije kikaliwa na vijana wengine hahaha
 
Mtu anakunywa konyagi then anaenda hospital anapewa dawa...

Hivi si wanasema ukilewa uwez kupewa dawa au
Kwani dose ya Nyagi haikutosha mpaka wa mpe dawa nyingine?? Ile aliokuja nayo hospital ilitosha kwa usiku ile, amasivyo wange muu-overdose
 
Eti amevunjwavunjwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ , mbowe bhana,ni comedian zaidi ya joti
 
Ikiwa haamini mtu mwingine hilo nalo tatizo kubwa.
Chadema ina hazina ya uongozi ndio maana ccm imewaamini na kuwapa uwaziri na ukuu wa wilaya

Sent using Jamii Forums mobile app
... ifike mahali abaki kuwa mshauri wa chama. Mikiki mikiki ya majukwaani awaachie vijana.
 
Sasa atoke amwachie nani? Nafikiri kila akihisi kuachia hakuna wakumpokea kijiti
... ana mkataba na Mungu kwamba ataendelea kuwepo hadi lini? Viongozi wa aina hii ndio wale wakiondoka (kwa lazima) taasisi inasambaratika kwa sababu waliamini wao ndio taasisi na taasisi ndio wao. Mbowe abadilike.
 
Kwani dose ya Nyagi haikutosha mpaka wa mpe dawa nyingine?? Ile aliokuja nayo hospital ilitosha kwa usiku ile, amasivyo wange muu-overdose

Ndio ushangae taarifa ya kuwa alikuwa amelewa chakali na wakati huo kafika hospitali na akapewa dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…