Video hii imegusa wengi, Tazama T-shirt ya Baba; binti amevaa joho lake. Kwake, Baba ndiye shujaa wake!

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Moja ya video iliyogusa hisia za watu ni hii ya binti huyu aliyejivunia kuvaa joho huku kando yake kuna Baba yake akiwa na furaha tele mwanae kuhitimu Chuo. Ingawa sifahamu kuhusu mama yake, ila inachukua dakika chache tu kugundua moyo wa binti huyu unazungumza nini?. Anaonyesha hamu kubwa ya kulipa fadhila kwa baba yake.

Kwa mliopo vyuoni na wale mnaoelekea kwenye vyuo, ni wazi kwamba wazazi wana matarajio makubwa kutoka kwenu. Wanaweza kuwa na ndoto nyingi kuhusu mustakabali wenu. Hii ni nafasi yenu kuonyesha shukrani na kuendeleza urithi mzuri wa familia zenu.

Video hii inatukumbusha kuwa hatupaswi kusahau wale waliofanya kazi kwa bidii ili tuweze kufikia malengo yetu. Binti huyu anadhihirisha kuwa ni muhimu kukumbuka na kuthamini kujitoa kwa wazazi wetu.

”Amebarikiwa anayewaheshimu,kuwatii na kuwajali wazazi wake”

Mfano mzuri kuna huyu msanii hapa nyumbani kwa nje anaonekana ana mafanikio makubwa but ndani mwake mnafukuta hana ule utulivu wa nafsi ni kama amelaaniwa kuna tuhuma alikuwa mmoja wa victims wa Diddy hii yote ni kutokana na hamjali wala kumuheshimu aliemtoa kwenye kiuno chake.
 
Moja ya video iliyogusa hisia za watu ni hii ya binti huyu aliyejivunia kuvaa joho huku kando yake kuna Baba yake akiwa na furaha tele mwanae kuhitimu Chuo. Ingawa sifahamu kuhusu mama yake, ila inachukua dakika chache tu kugundua moyo wa binti huyu unazungumza nini?. Anaonyesha hamu kubwa ya kulipa fadhila kwa baba yake.

Kwa mliopo vyuoni na wale mnaoelekea kwenye vyuo, ni wazi kwamba wazazi wana matarajio makubwa kutoka kwenu. Wanaweza kuwa na ndoto nyingi kuhusu mustakabali wenu. Hii ni nafasi yenu kuonyesha shukrani na kuendeleza urithi mzuri wa familia zenu.

Video hii inatukumbusha kuwa hatupaswi kusahau wale waliofanya kazi kwa bidii ili tuweze kufikia malengo yetu. Binti huyu anadhihirisha kuwa ni muhimu kukumbuka na kuthamini kujitoa kwa wazazi wetu.

Huyu binti abarikiwe milele amina
 
Sasa hapo Cha ajabu ni kipi? Kwa ujumla wanaume ndio tunawezesha maisha ya Wanawake na Watoto,so inategemeana na akili ya mtu kuthamini Hilo
 
”Amebarikiwa anayewaheshimu,kuwatii na kuwajali wazazi wake”

Mfano mzuri kuna huyu msanii hapa nyumbani kwa nje anaonekana ana mafanikio makubwa but ndani mwake mnafukuta hana ule utulivu wa nafsi na kama amelaaniwa kuna tuhuma alikuwa mmoja wa victims wa Diddy hii yote ni kutokana na hamjali wala kumuheshimu aliemtoa kwenye kiuno chake.
Ukiitwa mahakamani unaweza kutoa ushahidi kwa haya uliyoyaandika hapa
 
Back
Top Bottom