ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Maigizo tu haya......hata kwenye tv yapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni mtoto wake wa kwanza basi mzee kipindi cha ujana amejitunza sana.Moja ya video iliyogusa hisia za watu ni hii ya binti huyu aliyejivunia kuvaa joho huku kando yake kuna Baba yake akiwa na furaha tele mwanae kuhitimu Chuo. Ingawa sifahamu kuhusu mama yake, ila inachukua dakika chache tu kugundua moyo wa binti huyu unazungumza nini?. Anaonyesha hamu kubwa ya kulipa fadhila kwa baba yake.
Kwa mliopo vyuoni na wale mnaoelekea kwenye vyuo, ni wazi kwamba wazazi wana matarajio makubwa kutoka kwenu. Wanaweza kuwa na ndoto nyingi kuhusu mustakabali wenu. Hii ni nafasi yenu kuonyesha shukrani na kuendeleza urithi mzuri wa familia zenu.
Video hii inatukumbusha kuwa hatupaswi kusahau wale waliofanya kazi kwa bidii ili tuweze kufikia malengo yetu. Binti huyu anadhihirisha kuwa ni muhimu kukumbuka na kuthamini kujitoa kwa wazazi wetu.
Mwenyezi Mungu aendelee kutupa uhai wazazi na kubariki riziki zetu.Kwa kweli, kuna saa unasimamisha mipango na matarajio yako yote kwa ajili ya watoto.
Hongera kwa kukuza.Aise, nakumbuka nilivalishwa joho na kofia,
Mengine yanafurahisha pia.
Baba yake huyo. Huoni alivyofanana naye?Baba au mchepuko?