Ila wee jamaa hofyo sana kukaa tu kwa shemeji yakounamuuliza nani ?
Upo sahihi. Nimeona daladala za kuja mjiniAcha ubishi mjomba tuulize sisi tuliokulia mjini huo ni mtaa wa nkurumah karibu na jengo la bora kama unapajua vizuri mitaa tuliyokulia hiyo
😀😫😀😫😀Ila wee jamaa hofyo sana kukaa tu kwa shemeji yako
Watu wameshangaaa kama ajali ya GariMitaa siijui ila hio ni Tanzania.
Ujinga wetu tunakaa tunashangaa mikusanyiko isiyokua na mana.Hapo sio pa kusogeza pua
Sent using Jamii Forums mobile app
Magdalena unamcheka nani😀😫😀😫😀
😀😫😀😫Magdalena unamcheka nani
Wadau,kuna video inasambaa huko mitandaoni ikionyesha wahudumu wa afya katika mtaa unaotajwa ni mtaa wa Nkuruma street katika ya jiji asubuhi hii wakitoa kinachoonekana ni mwili wa mtu huku wakiwa wamevaa gloves na mavazi maalumu ya kuwakinga na maambukizi(protective gear).
Swali:kuna nini kimetokea kwa anaejua?
Wahusika tunaomba ufafanuzi.
Serikali iweke wazi ili jambo tutaisha
Kabishiiii...Wewe huoni kuna daladala za bongo hapo? Umejikalia tu kama zoba!
Kwani hii video ni ya wapi?Hii video SI YA KWELI,naomba niwe mkali kidogo NI KOSA KISHERIA KUZUSHA TARIFA ZISIZO ZA KWELI NA KULETA TAHARUKI KWA WANANCHI WENGI WATAPATA TABU KWA HII TABIA OMBI LANGU MITANDAO YA KIJAMII IZUWIE TAHARIFA KAMA HIZI KWANI ZINALETA HOFU KWA RAIA
"TUNAWE MIKONO KWA SABUNI NA MAJI TIRIRIKA, TUEPUKE MISONGAMANO NA TUSIKILIZE TARIFA NA MIONGOZO INAYOTOLEWA NA WIZARA YA AFYA TUWACHE KUSIKILIZA WAZUSHI"
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Ashakum! Umeshikilia mkia wa mbwa wauliza ulipo mkunduwe?
Hali haipo kama ulivyoiacha...sasa mabadiliko ni mengi!!Mmmh hapo bongo kwel?
Hiyo hata kama ingekuwa kweli ni huko Nkrumah, haina chochote cha kutofautisha na namna maiti nyingine yoyote inavyochukuliwa kutoka nyumbani kama wanaoichukua ni watumishi wa afya.Wadau,kuna video inasambaa huko mitandaoni ikionyesha wahudumu wa afya katika mtaa unaotajwa ni mtaa wa Nkuruma street katika ya jiji asubuhi hii wakitoa kinachoonekana ni mwili wa mtu huku wakiwa wamevaa gloves na mavazi maalumu ya kuwakinga na maambukizi(protective gear).
Swali:kuna nini kimetokea kwa anaejua?
Wahusika tunaomba ufafanuzi.
Serikali iweke wazi ili jambo tutaisha
Mkuu usilolielewa hapo ni lipi.kama ugonjwa ungeanzia sehemu yeyote ndani ya nchi lawama zisinge kuwepo kwa serikali.ila ugonjwa umetoka nje ya nchi na watu wamepiga kelele kwa serikali wafunge mipaka ugonjwa usiingie nchini lakini wao wakapuuza kwa maslahi yao ila sio maslahi ya wananchi wake.Msijali mnachokitamani kitakuwa tu si muda mrefu maiti zitaanza kuokotwa makumi kwa mamia si corona ndo inahamia Afrika. Na sintoshangaa kwamba kwenu hali hii ikitufikia kwenu ni furaha maana either way malengo yenu kisiasa yatakuwa yametimia..
Manipulating mtaa mzima? Pia Vidimbwi vya maji hali halisi ya mvua Dar leo.Manipulation!