Video hii inayodaiwa ni Nkuruma Street, City Center jijini Dar-es-Salaam asubuhi ya leo, inahusu tukio gani?

Video hii inayodaiwa ni Nkuruma Street, City Center jijini Dar-es-Salaam asubuhi ya leo, inahusu tukio gani?

Ni mgonjwa wa kifaduro nchini Burkina Faso, mji wa Ouagadougou ilitokea mwaka 2017, endeleeni kuchapa kazi, na mfuate ushauri wa wataalamu....za kuambiwa changanya na za kwako 😀
 
Wadau,kuna video inasambaa huko mitandaoni ikionyesha wahudumu wa afya katika mtaa unaotajwa ni mtaa wa Nkuruma street katika ya jiji asubuhi hii wakitoa kinachoonekana ni mwili wa mtu huku wakiwa wamevaa gloves na mavazi maalumu ya kuwakinga na maambukizi(protective gear).

Swali:kuna nini kimetokea kwa anaejua?

Wahusika tunaomba ufafanuzi.

Serikali iweke wazi ili jambo tutaisha



Hapa ni Guayaquil, Ecuador. Watu wanapenda kupotoshana tu, wanataka dada wa watu Mh. Ummy Mwalimu ajiuzuru kwa kushindwa kazi.
 
Kwanini baadhi ya member wa jf mnapenda kutumia maneno makali kejeli na dharau kwa member wenzenu.

Tena jambo dogo tu lakuelekezana mtu adi amtukane mwenzake amuonyeshe dharau

Tena unamkashifu na kumtukana mtu usiemjua...unaweza kumdharau mtu humu jf kumbe ndio yule mzee anaemgegeda mama yako Kila akija nyumbani kwenu unamuita uncle...na ada ya chuo anakulipia sema unashindwa kumtambua sababu ya ID anayotumia jf
Muwe na heshima vijana.
 
Hii video SI YA KWELI,naomba niwe mkali kidogo NI KOSA KISHERIA KUZUSHA TARIFA ZISIZO ZA KWELI NA KULETA TAHARUKI KWA WANANCHI WENGI WATAPATA TABU KWA HII TABIA OMBI LANGU MITANDAO YA KIJAMII IZUWIE TAHARIFA KAMA HIZI KWANI ZINALETA HOFU KWA RAIA
"TUNAWE MIKONO KWA SABUNI NA MAJI TIRIRIKA, TUEPUKE MISONGAMANO NA TUSIKILIZE TARIFA NA MIONGOZO INAYOTOLEWA NA WIZARA YA AFYA TUWACHE KUSIKILIZA WAZUSHI"

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Kwani hii video ni ya wapi?
Nini kinakupa ujasiri wa kutuambukiza dhana ya u fake?!

Wasiwasi ndio akili (kapita mwajuma ndala ndefu kajifunga kanga imeandikwa hivyo)
 
Huyo mtu tangu asubuhi naingia job alishakata pumzi, police waliitwa wakagoma kumchukua marehemu wakasema mpaka waje wataalamu wa Afya.

Jamaa alitoka alikotoka akafika hapo akaomba apumzike anywe na kahawa mara ghafra akaanguka na hapo ukawa mwisho wa Maisha yake watu wakakimbia.

Tukio ni Nkurumah mbele kule ni stand ya mabasi ya Gongo la mboto Mnazi mmoja
 
Wadau,kuna video inasambaa huko mitandaoni ikionyesha wahudumu wa afya katika mtaa unaotajwa ni mtaa wa Nkuruma street katika ya jiji asubuhi hii wakitoa kinachoonekana ni mwili wa mtu huku wakiwa wamevaa gloves na mavazi maalumu ya kuwakinga na maambukizi(protective gear).

Swali:kuna nini kimetokea kwa anaejua?

Wahusika tunaomba ufafanuzi.

Serikali iweke wazi ili jambo tutaisha

Hiyo hata kama ingekuwa kweli ni huko Nkrumah, haina chochote cha kutofautisha na namna maiti nyingine yoyote inavyochukuliwa kutoka nyumbani kama wanaoichukua ni watumishi wa afya.
Wataalam wana utaratibu wao wa handling ya maiti yeyote. Tofauti huwa inaonekana kama wanaobeba maiti hiyo ni mimi na wewe majirani wa kawaida, lakini ukiita wataalamu ndivyo watakavyoichukua.
Miaka kadhaa iliyopita tulipata msiba wa jirani yetu alifia ndani kwake akiwa peke yake hadi akaoza. Walipokuja mabwana afya kuchukua maiti walikuwa wamevaa hivihivi.
Ni vema kufuatilia undani wa story kwanza.
 
Msijali mnachokitamani kitakuwa tu si muda mrefu maiti zitaanza kuokotwa makumi kwa mamia si corona ndo inahamia Afrika. Na sintoshangaa kwamba kwenu hali hii ikitufikia kwenu ni furaha maana either way malengo yenu kisiasa yatakuwa yametimia..
Mkuu usilolielewa hapo ni lipi.kama ugonjwa ungeanzia sehemu yeyote ndani ya nchi lawama zisinge kuwepo kwa serikali.ila ugonjwa umetoka nje ya nchi na watu wamepiga kelele kwa serikali wafunge mipaka ugonjwa usiingie nchini lakini wao wakapuuza kwa maslahi yao ila sio maslahi ya wananchi wake.
Serikali imeamua kuwauwa wananchi wake kwa makusudi naona sasa wanafurahi watu wanavyo kufa maana ndio nia yao.yaani hapo Raisi na mawaziri husika hawana pakutokea maana wao ndio sababisha ya yote hayo yanayotokea maana wao ndio wenye dhamana ya kusimamia nchi.
 
Back
Top Bottom