Video: Hii ndio Crane aina ya XCMG yenye uwezo wa kubeba Tonne 100, imagine ya 26 Tonnes ikoje

Video: Hii ndio Crane aina ya XCMG yenye uwezo wa kubeba Tonne 100, imagine ya 26 Tonnes ikoje

Duuuh, kwahiyo kuletwa ibebwe, kurudishwa ibebwe 🤣🤣😂😂

Terminology ngumu zinatumika ilimradi zituchanganye tu. Vinaweza kuja vipande vipande vikaungwa hapo hapo site ( kwa gharama yetu).

Bughudha yote hii utakuta consultant, mkandarasi, project manager na wadau wahusika wanasubiria mshahara na wapo site. Ni kweli hili hawakuliona tokea awali?
 
Ukipekua Sana Unakuta Watanzania Na Kampuni Zao Wanatupiga Tu Taratibu
 
DB6A0F87-F1E0-4A9D-85E0-2E020FE553FE.jpeg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] staki hata kukumbuka aisee,

Mkiambiwa ccm wameshikwa.vichwa hakuna wa kuhoji

We acha tu. Hata ile kauli kwamba kuna uhaba wa mafuta iliyokanushwa, utaniambia tu muda si mrefu.

Ukiona vituo vya mafuta vinaibuka kama uyoga ujue kuna jambo linakuja.

Bei inaweza kupaa ghafla kama mbayuwayu
 
Back
Top Bottom