EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Huyu jamaa tutaona mengi yaani he's a junior cabinet member but anataka kujitutumua hadi anaharibuWe acha tu. Hata ile kauli kwamba kuna uhaba wa mafuta iliyokanushwa, utaniambia tu muda si mrefu.
Ukiona vituo vya mafuta vinaibuka kama uyoga ujue kuna jambo linakuja.
Bei inaweza kupaa ghafla kama mbayuwayu