Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,941
- 2,081
Mtera hydro power Contract for the worksAchana na Picha, nilifunga safari 1999 kwenda kupaona hapo Mtera na nnafaham cranes za Mtera zilivyo.
Ulimsikiliza Waziri maelezo yake aliposema cranes hazipo hapa nchini kwetu inabidi wazikodi? Kwenye maelezo tumeambiwa ni za kusaidia ujenzi wa hiyo milango ya ku divert maji, ndio sababu kuu maji hayajaanza kujazwa kama tulivyoahidiwa. Kuna mawili hapo, aidha hatuambiwi ukweli wa nini kinaendelea au mradi una tatizo...napo itaangukia pale pale hatuambiwi ukweli.