FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Duuuh, kwahiyo kuletwa ibebwe, kurudishwa ibebwe 🤣🤣😂😂Sasa hivi tumeambiwa inabidi isiwe mobile...inatakiwa permanent ila ni ya kukodi na itarudishwa. Hii nchi raha sana
Umbua nwanasiasa!Ya Tani 26 si itakuwa kama bajaji? Ona video mwenyewe
Tanzania yote hii hakuna?!
Duuuh, kwahiyo kuletwa ibebwe, kurudishwa ibebwe 🤣🤣😂😂
Ukipekua Sana Unakuta Watanzania Na Kampuni Zao Wanatupiga Tu TaratibuTerminology ngumu zinatumika ilimradi zituchanganye tu. Vinaweza kuja vipande vipande vikaungwa hapo hapo site ( kwa gharama yetu).
Bughudha yote hii utakuta consultant, mkandarasi, project manager na wadau wahusika wanasubiria mshahara na wapo site. Ni kweli hili hawakuliona tokea awali?
Ukipekua Sana Unakuta Watanzania Na Kampuni Zao Wanatupiga Tu Taratibu
Watu Kama Yule Wa Igunga Utakuta Ndiyo Analeta Hiyo CraneHii mbona haihitaji tuisheni kung'amua kwamba ipo namna tunatengenezwa????
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] baada ya kuhoji.ndo anabadili gia anganiSasa hivi tumeambiwa inabidi isiwe mobile...inatakiwa permanent ila ni ya kukodi na itarudishwa. Hii nchi raha sana
Watu Kama Yule Wa Igunga Utakuta Ndiyo Analeta Hiyo Crane
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] baada ya kuhoji.ndo anabadili gia angani
Anakodije kitu permanent?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] staki hata kukumbuka aisee,Permanent kwa maana kwamba inatakiwa ijengwe palepale isiwe movable.
Unazikumbuka zile lugha za Mwl. Kashasha kwenye soka?
Ya Tani 26 si itakuwa kama bajaji? Ona video mwenyewe
Tanzania yote hii hakuna?!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] staki hata kukumbuka aisee,
Mkiambiwa ccm wameshikwa.vichwa hakuna wa kuhoji
Dona kantriTanzania Ni Tajiri