EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Huyu jamaa tutaona mengi yaani he's a junior cabinet member but anataka kujitutumua hadi anaharibuWe acha tu. Hata ile kauli kwamba kuna uhaba wa mafuta iliyokanushwa, utaniambia tu muda si mrefu.
Ukiona vituo vya mafuta vinaibuka kama uyoga ujue kuna jambo linakuja.
Bei inaweza kupaa ghafla kama mbayuwayu
Iwe permanent ya kukodi na itarudishwaππππapa tumepigwa na kitu kizito kichwaniSasa hivi tumeambiwa inabidi isiwe mobile...inatakiwa permanent ila ni ya kukodi na itarudishwa. Hii nchi raha sana
Watu Kama Yule Wa Igunga Utakuta Ndiyo Analeta Hiyo Crane
Yaani ni ya kukodi, halafu tena permanent, mbona mi sielewi? π€·π½ββοΈ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] baada ya kuhoji.ndo anabadili gia angani
Anakodije kitu permanent?
Faida za kutokuwa movable na ukizingatia ni ya kukodi, ni zipi?Permanent kwa maana kwamba inatakiwa ijengwe palepale isiwe movable.
Unazikumbuka zile lugha za Mwl. Kashasha kwenye soka?
Ni kitu gani hicho?, kwamba hii XCMG inayoinua hilo dude ikienda hapo itazima na kushindwa kuinua hiyo milango? Au unamaanisha nini?View attachment 2015602aina hii ndizo zinazoinua milango ya hydro power sio hizo.
Mi ilinikuta 2006 wakati najiandaa na NECTA , ngeleja sitamsahau yule jamaa, daaah, halafu kumbe ni ishu ya kusuka tu ili waingia mikataba ya kukodi jenereta, kuna watu wana ujasiri nyie, aaaghhDona kantri
Masikini watoto wapo kwenye mitihani yao ya kidato cha 4,wanasomaje huko?
Ccm wana dhambi sn
View attachment 2015602aina hii ndizo zinazoinua milango ya hydro power sio hizo.
Kama ni kitu kinachohitajika kilitakiwa kiwe kimewekwa kwenye mpango kazi, na hiyo winch iwe hapo tayari, yaani ni kama kitu wameshtukizwa, hata sielewiSi zinainua wakati wanajenga hayo mageti kisha wanaziondoa winchi ama zinabaki hapo moja kwa moja?
Naomba nifahamishwe vizuri. Hizi winchi tunaongelea hapa si zinatakiwa wakati wa ujenzi tu na sio kwamba zitakua pale moja kwa moja si ndio?
Na hapo ndio swali langu la kila siku linajirudia, kwamba kwenye mpango wa utekelezaji wa huo ujenzi hawakuweza kabisa kuligusia hilo hitaji hadi sasa hivi ndio imeibuka kama jambo la dharura hadi licheleweshe maendeleo ya mradi?
Kale kajengo hata kakuuuubwa waendelee na huu upuuzi tutakazungukaYaani ni ya kukodi, halafu tena permanent, mbona mi sielewi? [emoji2375]
Kama huyu wa nishati Sio muongo tu, hata yeye hajui anachokiongea!Waziri mkuu muongo
Waziri wa nishati muongo
Hahahaha, tupate wadhamini kidogo πππKama huyu wa nishati Sio muongo tu, hata yeye hajui anachokiongea!
Sasa anafikiri watz wote hawajui maana ya ton 26!
Atajua kama hakuna anachojua!
Si zinainua wakati wanajenga hayo mageti kisha wanaziondoa winchi ama zinabaki hapo moja kwa moja?
Naomba nifahamishwe vizuri. Hizi winchi tunaongelea hapa si zinatakiwa wakati wa ujenzi tu na sio kwamba zitakua pale moja kwa moja si ndio?
Na hapo ndio swali langu la kila siku linajirudia, kwamba kwenye mpango wa utekelezaji wa huo ujenzi hawakuweza kabisa kuligusia hilo hitaji hadi sasa hivi ndio imeibuka kama jambo la dharura hadi licheleweshe maendeleo ya mradi?
View attachment 2015849
Mkuu hizo zikishawekwa hapo ndo moja kwa moja hiyo hapo ni mtera dam site(mtera hydro power plant ipo hapo tangu 1981 alizindua jk nyerere kazi ya hiyo kreni ni kuinua milango ya daraja(mageti)
Si zinainua wakati wanajenga hayo mageti kisha wanaziondoa winchi ama zinabaki hapo moja kwa moja?
Naomba nifahamishwe vizuri. Hizi winchi tunaongelea hapa si zinatakiwa wakati wa ujenzi tu na sio kwamba zitakua pale moja kwa moja si ndio?
Na hapo ndio swali langu la kila siku linajirudia, kwamba kwenye mpango wa utekelezaji wa huo ujenzi hawakuweza kabisa kuligusia hilo hitaji hadi sasa hivi ndio imeibuka kama jambo la dharura hadi licheleweshe maendeleo ya mradi?
Nilichogundua makamba anaongea kitu ambacho hakifahamu aidha kwa MAKUSUDI au bahati mbaya hizo kreni huwezi kukodi kwasababu ni za kudumu hapo zikisha wekwa ndio mojakwa moja hapo kabla bwawa la mtera halijajazwa maji enzi hizo,yaani unajenga nyumba yako unakwenda kwa fundi wa milango badala ya kuinunua wewe unamwambia fundi utaikodisha ni uhuni wa kishamba.pembeni hapo kushoto ni geti la akiba(mlango)unaiona hapo kreni juu unapoleta shida mmojawapo mlango Kati ya hiyo minne hiyo kreni inaubeba huo wa akiba unapachikwa hapo service inaendelea,na mfumo wa dam site zote hupo hivyo nimeshiriki ujenzi kidatu na mtera alinipeleka nyerere siwezi danganywa na makamba hata mlango wa kuchepusha pale maji yanaposukuma tabani za kufua umeme mfumo ni huohuo ni pembeni kidogo upande wa pili.Achana na Picha, nilifunga safari 1999 kwenda kupaona hapo Mtera na nnafaham cranes za Mtera zilivyo.
Ulimsikiliza Waziri maelezo yake aliposema cranes hazipo hapa nchini kwetu inabidi wazikodi? Kwenye maelezo tumeambiwa ni za kusaidia ujenzi wa hiyo milango ya ku divert maji, ndio sababu kuu maji hayajaanza kujazwa kama tulivyoahidiwa. Kuna mawili hapo, aidha hatuambiwi ukweli wa nini kinaendelea au mradi una tatizo...napo itaangukia pale pale hatuambiwi ukweli.
Aliyemshauri makamba atakua timu mwendazake ili kumdhalilisha.Sasa hivi tumeambiwa inabidi isiwe mobile...inatakiwa permanent ila ni ya kukodi na itarudishwa. Hii nchi raha sana
Mama anamuogopa Manyuzi. Akimtumbua tu anarudia jina lake (kipanse cha mti) na kuanza kumshambulia kwenye mitandao.Ya Tani 26 si itakuwa kama bajaji? Ona video mwenyewe
Tanzania yote hii hakuna?!