Video: Hii ndio Crane aina ya XCMG yenye uwezo wa kubeba Tonne 100, imagine ya 26 Tonnes ikoje

Mtera hydro power Contract for the works
 
Ya Tani 26 si itakuwa kama bajaji? Ona video mwenyewe


Tanzania yote hii hakuna?!
Ipeleke iyo crane ikashushe containers kwenye meli. Tonnage ni jambo moja, ila uwezo wa mazingira wa crane kufanyia kazi ni jambo lingine.

Hii crane iko designed kwaajili ya kuinua na kupakia mizigo katika sehem zenye elevation ya kawaida. Mfano toka ardhini kwenda kwende lorry..na lazima iwe katika sehemu tambarale ili ifanye kazi. Na ndio maana haiwezi kutumika hata kwenye ujenzi wa magorofa kwa vile its not designed kufanya task za aina iyo.

Semvuse kwenye bwawa ambalo structure yake iko very complex? Kijana acha kujitia mjuaji, acha wataalam wafanye kazi yao.
 
Ni kweli kwamba hizo crane sio maalumu kwa ajili ya geti za dam site ila makamba nae katoa ushuzi ambao hauna mfano makamba ndiye aliye bolonga zaidi bora huyo jamaa kachanganya faili tu,makamba kaonyesha hana anachokijua kuhusu hizo crane au ni ujambazi uliozoeleka kwa kuwafanya watanzania wajinga kumbe mjinga yeye.
 
January hana baya kwenye hili, ametumia lugha rahisi na ya jumla ili mwananchi wa kawaida aelewe ni nini anachokizungumzia. Sisi wenye incomplete knowledge ndio tumeanzisha mjadala huu, na kuufikisha hapa ulipo. Kauli ya Makamba iko sawa kabisa kuelezea picha halisi ya hali iliyopo.
 
Hiyo contract for the works kidatu hydro power hao wanaousika na ujenzi wa mageti ndio wanahusika na crane yeye anaenda kukodi wapi?
 
Nyingine hizi
Iwe permanent ya kukodi na itarudishwa😂😂😂😂apa tumepigwa na kitu kizito kichwani
 
Hiyo contract for the works kidatu hydro power hao wanaousika na ujenzi wa mageti ndio wanahusika na crane yeye anaenda kukodi wapi?View attachment 2015924
Ni wapi ambapo waziri amekwambia serikali ndiyo inayokwenda kukodi izo cranes. Serikali tayari imetoa mkataba kwa constructor kujenga bwawa..na constructor ndie anaejua cranes atazitoa wapi na kwa utaratibu gani kama alivyojua atapata wapi excavators na malorry ya kubebea mchanga . Serikali inachotaka ni kukabidhiwa bwawa likiwa limekamilika

Alichofanya Makamba ni kutoa general report kwa wananchi juu ya maendeleo ya mradi kutokana na taarifa za constructor, na kwa nini kuna delays kwenye kujaza maji. Sababu ya delay umeshapewa, milango ya kuzuia maji imekwama kuwa placed kwa sababu mkandarasi anahitaji special cranes ambazo kwa sasa hazipo.
 
Mnabadilisha gia angani mafi nyie,mlijua watanzania wote mapimbi kama nyie.
 
Paragraph ya mwisho hapo we ni mpumbavu unaejaribu kupulizia kinyesi pafyumu.
 
Kwahiyo ndio tunakodisha toka nje ya nchi kitu ambacho ni part ya dam? Seriously? Hapana aisee
 
Wewe jama unachanganya kati ya ‘Installation Crane’ na ‘Operational crane’, aliyotaka kwenda kukodi ni ‘Installation crane’ ya kuweka milango, hiyo crane ya kuoperate milango ni sehemu ya mradi na huwezi kukodi, maana hata hiyo ‘Operational crane’ nayo inahitaji kubebwa na kuwa installed hapo kama jinsi milango nayo inavyohitaji kubebwa na kuwa installed hapo. Au hiyo operational crane inajibeba yenyewe?
Alichotushangaza ni kusema kuwa hatuna crane ya kubeba milango ya tani 26
 
Hiyo crane inayoweza kufika kwenye hayo mazingira complex inashushwa kwa helicopter au inafikaje hapo? Tuelimishane sisi wengine ni wajinga
 
Kwani vifaa vingine kwenye mradi vimetoka ndani ya nchi? Si vimetoka nje ya nchi? Na iweje wakakodi, hata kama ni mkandarasi, kwanini anakodi kitu kinachofungwa permanently, Na hiyo crane inafikaje kwenye hayo mazingira complex, kwa helicopter? Na vifaa vingine vimefikaje hapo? tuelimishwe, sisi wengine ni wajinga katika hili
 
Mkuu ingekuwa ni installation crane asingethubu kuongea maana anajua zipo hata hapa mimi nipo hapa rufiji kiongozi mwache hivohivo kabugi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…