VIDEO: Hii ni namna njema sana kuikosoa Serikali na viongozi. Cha ajabu eti wanachukia kana kwamba yanayokosolewa hayakusemwa wao hadharani...!!

VIDEO: Hii ni namna njema sana kuikosoa Serikali na viongozi. Cha ajabu eti wanachukia kana kwamba yanayokosolewa hayakusemwa wao hadharani...!!

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
1,967
Reaction score
4,267
Hii video inatrend sana kwenye magrupu ya FB, telegram, TikTok, WhatsApp nk

Cha ajabu, the so called "CHAWA" wameshatinga huko kutishia ma - admin kuzuia kusambaa kwa video hii eti "inaidhalilisha serikali na Rais Samia Suluhu kama kwamba haya hayakusemwa na wao wenyewe viongozi..!!!

Tazama na sikiliza ubunifu wa vijana wa namna ya kupeleka ujumbe..
 
Yaani kiongozi analazimisha wafanyabiashara waongeze bei?
Leo hii ukienda maduka jirani hakuna uniformity ya bei! Ni vurugu tupu
Rais Samia siku hiyo sijui alikuwa amekula maharage ya wapi tu...

Badala ya kuwafariji na kuwapa matumaini wananchi, yeye analazimisha mambo yawe magumu kwao..

Ni sawa na daktari mjinga anayepokea mgonjwa aliye serious kwelikweli na badala ya kumtia moyo na kumpa matumaini ya kupona na kuishi, yeye anamwambia;

"..... hata sijui kama utaweza kupona wewe, hakika unaweza kufa tu na sijui kwanini wamekuleta hapa...!!"

Haa! haa! haa!, huyu ndiye daktari profeshno. Na huyo ndiye Rais Samia Suluhu, mfariji wetu wananchi lakini chini chini akitunanga..!
 
Mama is known for making some real gaffes.

Mifano:
  1. Kuleni kwa urefu wa kamba zenu lakini msivimbiwe ..
  2. Bei zitapanda tu .....
  3. The list goes on ....
 

Simulizi: A to Z ya yaliyotokea Marekani, maandamano ya amani mbele ya jengo la ubalozi wa Tanzania , dhidi ya sera za serikali ya CCM


 
... of course context inaonesha ni sponsored by Push & the Gang!
Swali langu je hayo mambo aliyaongea au wameyatunga hao watoto? Kama aliyaongea huwezi kumtetea kwa kuzungumza kirahisi hivyo.
 

Simulizi: A to Z ya yaliyotokea Marekani, maandamano ya amani mbele ya jengo la ubalozi wa Tanzania , dhidi ya sera za serikali ya CCM



Aisee, kumbe ndivyo ilivyokuwa..

Hata hivyo;

1. Ni kwanini Rais Samia Suluhu Hassan anawakimbia watu wake? Kwani angepoteza nini kusimama na kuzungumza nao? Jakaya Kikwete was very good guy. Wala asingesepa kuonana na kuongea na kujibu walichokuwa wanataka akisemee..

2. Nimegundua pia kuwa kumbe hawa viongozi wa Tanzania chini ya CCM bila kubebwa na polisi, si lolote, si chochote. Waoga kama kama Mabundi...
 
Washington DC
Marekani

Rais Samia Hassan : Nimewaona waTanzania na mabango yao, Ni haki yao, waseme nasi tuwasikie



Nimesoma meseji zote katika mabango na fulana zao nikawapungia mkono. Tutazifanyia kazi katika timu ya yetu ya task force kuhusu katiba, Mh. Rais Samia Hassan amesema alipokuwa anazungumza na waTanzania ndani ya ukumbi baadaye.


https://kenyandigest.com › task-forc...
Task force elicits new debate on 'Katiba Mpya' versus 'Tume Huru'

26 Mar 2022 — Task force elicits new debate on 'Katiba Mpya' versus 'Tume Huru' ... activists over priority issues for Tanzania's democratic reforms.
 
Back
Top Bottom