The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
Hasa hiki alichokisema Rais Samia...Kuna mambo ukiyasikiliza yanahuzunisha sana...
... wasije wakapotea katika mazingira ya kutatanisha! Vyombo vya haki za kiraia ndani na nje ya nchi take note of this.Ha ha haaa ..
Vijana wabunifu kiwango cha uchochezi wa fikra mpya.
Rais Samia siku hiyo sijui alikuwa amekula maharage ya wapi tu...Yaani kiongozi analazimisha wafanyabiashara waongeze bei?
Leo hii ukienda maduka jirani hakuna uniformity ya bei! Ni vurugu tupu
Swali langu je hayo mambo aliyaongea au wameyatunga hao watoto? Kama aliyaongea huwezi kumtetea kwa kuzungumza kirahisi hivyo.... of course context inaonesha ni sponsored by Push & the Gang!
Miaka yote ya utawala huu, hutakuwa na akili mpaka utawala huu uishe!... of course context inaonesha ni sponsored by Push & the Gang!
Aisee, kumbe ndivyo ilivyokuwa..Simulizi: A to Z ya yaliyotokea Marekani, maandamano ya amani mbele ya jengo la ubalozi wa Tanzania , dhidi ya sera za serikali ya CCM
Tuwafahamu wajumbe wa Task Force ya Msajili
Itakuwa ni kujidanganya mchana kweupe, kudhani kuwa hali ya kisiasa nchini ni shwari na kuwa kazi inaendelea. Taarifa rasmi kutokea katika mkutano huo wa kusaka tahfifu katika siasa kwa wadau ni kama ilivyo hapa chini: Hiyo ndiyo habari yenyewe. Kama vipi kuwafahamu wajumbe hawa zaidi...www.jamiiforums.com
https://kenyandigest.com › task-forc...
Task force elicits new debate on 'Katiba Mpya' versus 'Tume Huru'
26 Mar 2022 — Task force elicits new debate on 'Katiba Mpya' versus 'Tume Huru' ... activists over priority issues for Tanzania's democratic reforms.
Na DJ... tatizo la taifa hili ni CCM!