VIDEO: Hili lilimshinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete hata Magufuli. Rais Samia apongezwe

1. Umeme ni Magufuli
2. SGR ni Magufuli
3. Kuuza Bandari Samia
4. Kuuza KIA Samia
5. Kuuza Misitu Samia
6. Kuuza Ngorongoro Samia
7. Kuuza Ardhi ya Tanganyika Samia.

Mengine yote porojo.
Kwenye 1&2, Samia alikuwepo kwenye vikao vya mradi huo, humtoi, aliachiwa mradi ukiwa 15% akamalizia 85%.
Kwenye 3 na kuendelea Unaweza kuthibitisha hilo?
Tuwekee sales agreement hapa tutakuamini!, huyo Lisu wenu kaombwa uthibitisho katimka!
-Kuna mikataba ya ku preserve mazingira asili.
-Kuna mikataba ya kibiashara ya kiubia kiuendeshaji, hakuna sales agreement hapo, mtafungwa bure!
 
Hivi huu uchawa mtauacha lini?
 
Lakini hebu tuwe wakweli mtu kachukua mradi ukiwa 35%,

Hivi unajua hii hata nusu ya Mradi ilikuwa

Mwenzio kasema 35% wewe unasema 15% kweli uchawa ni shida
 
Safi sana,Mama piga kazi
 
Kama hukuyaona sina namna ya kukusaidia
Acha kununa nuna Jenga hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…