VIDEO: Hili lilimshinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete hata Magufuli. Rais Samia apongezwe

Me sidhani kama liliwashinda labda uniambie kila awamu hutekeleza jambo kutokana na umuhimu wake wa kipindi hiko.


Kuna maisha walio kuwa wanaishi wazee wetu ambayo kwa asilimia kubwa sisi hatuishi, kila awamu itafanya jambo kutokana na uhitaji wa jambo hilo kwa saa hiyo.

Kadiri awamu iliyopita ikifanya vizuri ndivyo awamu inayofuata hufanya vizuri zaidi, chukulia mfano awamu iliyopita ilifanikisha kuleta maji kwa asilimia kubwa katika eneo unaloishi, tatizo la maji litakuwa limetatuliwa, ikija awamu nyingine huanza kutatua umeme, kwahiyo awamu hii ya pili haita fikiria tena tatizo la maji labda kuboresha zaidi, hivyo ukumbuke muda na gharama nyingi ulizokuwa ukiangaikia katika maji awamu ya kwanza hutoangaikia katika awamu nyingine, hivyo hizo gharama utaelekeza katika ishu nyingine.

Pia ukumbuke watu wanaongezeka kila siku, biashara zinakuwa nazo mzunguko wa fedha unakuwa nao ndiyo maana uwezi ukakuta miaka mitano ya nyuma ni sawa na sasa.
 
1. Umeme ni Magufuli
2. SGR ni Magufuli
3. Kuuza Bandari Samia
4. Kuuza KIA Samia
5. Kuuza Misitu Samia
6. Kuuza Ngorongoro Samia
7. Kuuza Ardhi ya Tanganyika Samia.

Mengine yote porojo.
Nowadays, umeme haukatiki.
Pongezi kwa Samia.
#Kazi iendelee.
 
Lakini hebu tuwe wakweli mtu kachukua mradi ukiwa 35%,

Hivi unajua hii hata nusu ya Mradi ilikuwa bado?
Plan zote na michoro vikishakua mezani kazi yako inakua ni kusimamia tu...

Jiwe ndio aliplan kila kitu, hata ungekua wewe ni Rais ungesimamia tu, Very simple ..!!
 
Ukapimwe akili. Si bure, unavtaahira ya akili.
 
Kusifiana ujinga tu ndio maana bado tunagaika na matunda ya vyoo ila ukisikia hizo sifa utafikiri labda Tanzania inaikaribia Afrika kusini kwa maendeleo.
 
Nilifikiri ni video ya bonge akiyegoma kutekwa Kiluvya
 
Maajabu ni haya, Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka mitatu tu kazi IMEKWISHA mnadhani kwanini Watanzania tusimpongeze Mama na kumtia moyo kuelekea 2030?
Watanzania tuache upumbavu! Huu mradi ni wa JPM Kizimkazi hana mtadi alioubuni yeye! Yote anayotelekeza ni kazi za Chuma kutoka Usukumani!
 
Uzuri Tanzania ya leo sio ya mwaka 47
 
1. Umeme ni Magufuli
2. SGR ni Magufuli
3. Kuuza Bandari Samia
4. Kuuza KIA Samia
5. Kuuza Misitu Samia
6. Kuuza Ngorongoro Samia
7. Kuuza Ardhi ya Tanganyika Samia.

Mengine yote porojo.
Huyu mzanzibari ashtakiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…