LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
Haahaa NEC ya ccm imehamia mjengoni.Hili bunge Sio riziki....
Haswaa.Hiki ni kikao cha wawakilishi wa NEC CCM.
Kweli bunge lishakua kitukoNi vituko juu ya vituko !
View attachment 1694738
Huyo kwanza inabidi akapimwe akili maana hata watumishi wa afya hawana imani naye jinsi anavyo iendesha wizaraNi vituko juu ya vituko !
View attachment 1694738
Kwani Uwoya ni msukhuma?Yani bora Irene Uwoya angepewa iyo wizara ya afya angeleta tija kabisa.
Like brother like sisterWanaofikiri huyu mama ni mzima Wana matatizo makubwa.
Kumjua chizi siyo lazima umchungulie maana kelele zake tu zinatoshaKumbe mnafuatilia[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
takataka sijui zinaokotwa wapiNi vituko juu ya vituko !
View attachment 1694738
Sio bure kuna kitu hapoBangi mtu
Her best qualification is being a MSUKUMANahisi huyu mwanamke kituko hana mwendo wizara ya Afya. Ndio maana wenye akili za kiuongozi kama Ummy Mwalimu walikuwa wakigombana naye sana. Pia huyu mama ni pure Insane Yani ni mwendawazimu waziwazi
yes alichaguliwa kwa vile ni msukuma na siyo welediHer best qualification is being a MSUKUMA