Video: Hili ndio Bunge la viwango la kijani la awamu hii, msikilize Waziri wa Afya

Video: Hili ndio Bunge la viwango la kijani la awamu hii, msikilize Waziri wa Afya

Shangingi la Nec , amechukua nafasi ya Getruda Mongela of what happened after death of astudent udsm who killed herself bcoz of sex harassment .
 
Mwache mama apige kazi, huyu ndo anai-promote nyungu kisawasawa zaidi ya bwana yule anayeki-promote kiswahili kibovu chenye lafudhi ya kisukuma.
 
Ni vituko juu ya vituko !
View attachment 1694738
Kwasasa Nchi ina Changamoto ya upungufu wa Madarasa, upatikanaji wa maji upungufu wa Matundu ya vyoo na Changamoto hii ni yamiaka ming sanaa miaka60 ya Uhuru bado tunaongelea hizo changamoto Halafu Anatokea Mjinga Mmoja Anasema eti Rais aongezewe muda hata kama hatak Alazimishwe!
 
Back
Top Bottom