Video: Hili ndio Bunge la viwango la kijani la awamu hii, msikilize Waziri wa Afya

Video: Hili ndio Bunge la viwango la kijani la awamu hii, msikilize Waziri wa Afya

Huyu mama kila aongeapo naona aibu mimi sijui kwanini? Kwann asingebak Mollel?
 
Nipo tunachapika na maisha. Leo yetu afadhali na Jana. SASA wamejikusanya Dodoma wamuongezee miaka tutatupa nguo tutembee uchi. Uzuri Dodoma Kakorona Ka ajabuajabu kameshamiri kanaweza kupunguza idadi ya hawa Mabazazi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nahisi huyu mwanamke kituko hana mwendo wizara ya Afya. Ndio maana wenye akili za kiuongozi kama Ummy Mwalimu walikuwa wakigombana naye sana. Pia huyu mama ni pure Insane Yani ni mwendawazimu waziwazi

Where is Dr. Z. Chaula ?
 
Nipo tunachapika na maisha. Leo yetu afadhali na Jana. SASA wamejikusanya Dodoma wamuongezee miaka tutatupa nguo tutembee uchi. Uzuri Dodoma Kakorona Ka ajabuajabu kameshamiri kanaweza kupunguza idadi ya hawa Mabazazi.
Ahahahah cho
 
Sijaangalia video,ila huyu mama na makonda hebu wapimwe vinasaba vya ukoo huenda ni ukoo mmoja.
Huyu ataendelea kuishi kama alivyoishi makonda kwenye kiti chake licha ya kuvurunda bado aliaminiwa lkn pia ataishia/atapotea kama alivyopotea ma konda yaani kimashikhara tu,akazima jiiii.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nipo tunachapika na maisha. Leo yetu afadhali na Jana. SASA wamejikusanya Dodoma wamuongezee miaka tutatupa nguo tutembee uchi. Uzuri Dodoma Kakorona Ka ajabuajabu kameshamiri kanaweza kupunguza idadi ya hawa Mabazazi.
 
So bungeni huwa wanafanya standup comedy.

Hivi hakuna watu serious ambao wanaweza kupewa kazi nzito na nyeti kama wizara ya afya sababu hapa tunaongelea afya za wanachi na maisha.

Nadhani kila mtu akiwa maarufu basi anakuwa kiongozi kama rihanna angekuwa Tanzania basi angekuwa makamu wa rais.
 
Mm sio shida iko wapi c katoa shukrani huyu mama anapiga kazi bhana na anaipenda familia yake
 
Back
Top Bottom