Hivi hako katoto bado kapogo...!!!...😂😂😂 Ila kamezidi jichetua wallah!!
Mkuu, huo ndio utangazaji wa kisasa. Karibu karne ya 21.
sio bangi tu huyu ni mwendawazimuAlizidisha bangi
sasa wewe huoni huo ni wendawazimu?Wewe ulitaka atangazaje, si ufungulie TBC kama vipi