- Thread starter
- #41
nataka ajirekebisheNa hivi umemuanzishia uzi ndo ushampa kiki tayari.
nataka ajirekebisheNa hivi umemuanzishia uzi ndo ushampa kiki tayari.
Huyo huyo.... mengi mno anayeyusha.[emoji3][emoji3][emoji3]Nishampata huyo anapenda kuitikia Owwkeiiiii,anaboa sana,na kingereza uchwara
sio link mkuu ni video au uko freebasicMkuu amefanyaje kwani?naona kwangu link haifunguki hiyo video
sio link mkuu ni video au uko freebasic
mkuu anaitwa nani huyo binti mimi nimeshindwa kufungua videoMumuache mtoto wa watu anatafuta ugali.
Bongo ili uweze kuishi lazima ujitoe akili. Angalia kina Kabudi na Mwakyembe ndio utajua huyo dogo sio chizi.
Tumia browsermkuu anaitwa nani huyo binti mimi nimeshindwa kufungua video
nimejaribu bado imegoma sijajua ni kwa niniTumia browser
Sijui hata jina lake ila ni mtangazaji wa EATV.mkuu anaitwa nani huyo binti mimi nimeshindwa kufungua video