- Thread starter
- #21
huyo ni mwendawazimuMnamuona kama mwendawazimu ila yupo kazini na mshahara unaingia mwisho wa mwezi
huyo ni mwendawazimuMnamuona kama mwendawazimu ila yupo kazini na mshahara unaingia mwisho wa mwezi
Bangi nyingiiii huyoHuyu alikuwa amelewa au bangi nyingi
Kuna tofauti kubwa ya Kuingiza 'Mshahara' mkubwa na kuonekana 'Mpumbavu' kartika Jamii ya Watu makini na wastaarabu. Taaluma inanajisiwa.Mnamuona kama mwendawazimu ila yupo kazini na mshahara unaingia mwisho wa mwezi
Acha uhuni nanga [emoji16][emoji817][emoji16][emoji16][emoji817]ndo hawa vijana wanaita PISI KALI.
Au?
Mkuu hapana usifananishe bangi na upuuzAlizidisha bangi
Huenda walengwa (hadhira) wa kipindi hicho wanapenda hizo ''swaga''hii ni dharau kwa watazamaji
wanatuchukuliaje sisi
Jinsia gani na anatangaza kipindi gani?Kuna vitu(drugs) atakuwa anatumia pamoja na kuharibiwa kisaikolojia mahali.
Ila kwa watangazaji yule Mwana Unique wa RFA ni total bullcrap!!!.....anakinaisha mno.
Ni manzi, kipindi chake ni saa nane yupo na msela. Afadhali ya msela ila huyo K anayeyusha sana. Kitu pekee kinachonipeleka RFA ni DW ya saa saba, baada ya hapo nikijisahahu hadi hicho kipindi kikianza huyo Mwana Unique ndiye ananikumbusha kubadili station au kuzima redio.Jinsia gani na anatangaza kipindi gani?
ni mpuuzi huyu dadaDuuh!! Utakuta ndo kaamua hizo ziwe swagga zake.
[emoji3][emoji3][emoji3]Nishampata huyo anapenda kuitikia Owwkeiiiii,anaboa sana,na kingereza uchwaraNi manzi, kipindi chake ni saa nane yupo na msela. Afadhali ya msela ila huyo K anayeyusha sana. Kitu pekee kinachonipeleka RFA ni DW ya saa saba, baada ya hapo nikijisahahu hadi hicho kipindi kikianza huyo Mwana Unique ndiye ananikumbusha kubadili station au kuzima redio.
Na hivi umemuanzishia uzi ndo ushampa kiki tayari.ni mpuuzi huyu dada
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Netwek ipo down kwangu siwezi ona hiyo video ila ngoja nifuate mkumbo.
Huyo atakua kanywa kvant na konyagi.
Bora bangi ila sio ugoro mkuu, Bangi kwa huyu wanampaisha hana kichwa cha kula bangi...Mgoro sio mzuri aisee
Bangi asingekuwa hivyo aiseeBora bangi ila sio ugoro mkuu, Bangi kwa huyu wanampaisha hana kichwa cha kula bangi...
....Huoni hata meno yake na mdomo wa huyo mdada yanaonekana ya kubwia ugoro kabisa..