Nakfa
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 12,104
- 16,477
Ndo umemjua leo Shady? Pole anatengeneza pesa huu ni mwaka kama wa tisa hivi kwa huohuo uwendawazimu mnaouona nyieDuuh!! Utakuta ndo kaamua hizo ziwe swagga zake.
Ndo umemjua leo Shady? Pole anatengeneza pesa huu ni mwaka kama wa tisa hivi kwa huohuo uwendawazimu mnaouona nyieDuuh!! Utakuta ndo kaamua hizo ziwe swagga zake.
Hana uwezo wa kumpa kiki Shimii, followers tu alionao IG ni balaa jingine!Na hivi umemuanzishia uzi ndo ushampa kiki tayari.
Huu ndio ubabu ambao hatuutaki, wewe vipindi vyetu vijana vinakuwasha nini?Kanawe hilo janaba kwanza ndipo utaipu.
Wangese kama wewe mnaboa kinyama.Huu ndio ubabu ambao hatuutaki, wewe vipindi vyetu vijana vinakuwasha nini?
Watu wamefanya research na kugundua demand yetu vijana muongo mmoja na nusu nyuma wakaanzisha kipindi chenye miaka zaidi ya 15 (kama kumbukumbu yangu iko sawa) uje utupe shida hii 2020 ala!
Shimii yuko 5selekt toka 2013 baada ya baby drama kuondoka imaagine wewe ulikuwa wapi wakati huu
[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hicho kipindi kinaruka saa nane usiku? unaweza kukuta UFO huwa wanapewa fursa kwenda hewani.
itakua wewe ndio huyo dada mwendawazimu maanaake si kwa jitihada hizi za kujiteteaYani mtu kaajiriwa huu mwaka wa nane ili afanye anachokifanya wewe unaleta uzee wako eti ajirekebishe utamlipia bills?
Uzee nyumbani kwako aisee don't bring our girl into your nonsense
Uwiii!! Mi huwa sina upenzi na hivyo vipindi hivyo sijawahi hata muona aisee.Ndo umemjua leo Shady? Pole anatengeneza pesa huu ni mwaka kama wa tisa hivi kwa huohuo uwendawazimu mnaouona nyie
She's a legend.Uwiii!! Mi huwa sina upenzi na hivyo vipindi hivyo sijawahi hata muona aisee.
Kumbe yupo miaka nenda rudi. LOL
Kamuajiri mama'ko atangaze unavyotaka.h
itakua wewe ndio huyo dada mwendawazimu maanaake si kwa jitihada hizi za kujitetea
pole dada wewe ni mwendawazimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Wadau katika hali ya kustaajabisha kituo kimoja cha Televisheni hapa nchini kimeajiri mwendawazimu, nimepata na mshituko kidogo baada ya kufungulia TV na kukutana na hali hii.
Hebu tazameni wenyewe
View attachment 1602830
hizi media zinatuchuliaje sisi watazamaji?
video nyingine ipo hapo chini kwenye comment ya kwanza