Video: Hivi huyu ni mtangazaji au ni nini?

Video: Hivi huyu ni mtangazaji au ni nini?

Ni manzi, kipindi chake ni saa nane yupo na msela. Afadhali ya msela ila huyo K anayeyusha sana. Kitu pekee kinachonipeleka RFA ni DW ya saa saba, baada ya hapo nikijisahahu hadi hicho kipindi kikianza huyo Mwana Unique ndiye ananikumbusha kubadili station au kuzima redio.
Acha uongo huyo kwenye clip sio mwana unique
 
Acha ujinga wa kujilazimisha.... jitahidi kuelewa mambo mepesi.
Kunywa maji relax.
Mwana idi namfaham nmeshangaa katajwa humu.
Nieleweshe n huyo kwenye clip au una maanisha ana utangazaji mbovu?
 
Kunywa maji relax.
Mwana idi namfaham nmeshangaa katajwa humu.
Nieleweshe n huyo kwenye clip au una maanisha ana utangazaji mbovu?
Rudia kusoma covo yangu na niliyem-quote......mtangazaji tuliyemaanisha siye aliyepo kwenye video ya Uzi.
 
Hivi hako katoto bado kapogo...!!!...😂😂😂 Ila kamezidi jichetua wallah!!
As if unamzidi umri wa kuwa kazini 😏 Shimii kaanza kazi mtoto sanaa
 
Kuna vitu(drugs) atakuwa anatumia pamoja na kuharibiwa kisaikolojia mahali.

Ila kwa watangazaji yule Mwana Unique wa RFA ni total bullcrap!!!.....anakinaisha mno.
Kuzeeka kwako vibaya kusitupe shida sisi kila mtu umuone anatumia hayo mashubwada
 
hii ni dharau kwa watazamaji

wanatuchukuliaje sisi
Next uwe unauliza si kila ukionacho au ukisikiacho kinakulenga wewe!

Mfano ni XXL ya Clouds fm vipi ukijua walianzisha na bado wanasimamia hilo kuwa kipindi chao wasikilizaji wake ni walio na miaka 16-26 tu?

Sasa wewe na ubabu wako unasikiliza XXL au 5Selekt utakuwa sawa kweli
 
Kuna tofauti kubwa ya Kuingiza 'Mshahara' mkubwa na kuonekana 'Mpumbavu' kartika Jamii ya Watu makini na wastaarabu. Taaluma inanajisiwa.
Sasa wewe Genta ulitaka atangaze kibibi?
 
Bora bangi ila sio ugoro mkuu, Bangi kwa huyu wanampaisha hana kichwa cha kula bangi...
....Huoni hata meno yake na mdomo wa huyo mdada yanaonekana ya kubwia ugoro kabisa..
Au sio sasa 5Selekt unadhani ni ya wabibi na wababu kama wewe?
 
Nimeitizama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawa vijana nowdays wanatulea uhuni mpaka kwenye matangazo
Tayari umeshajitenga na kundi la vijana sasa hichi kipindi au matangazo yetu yanakuwasha nini?

Xxl, 5selekt, The switch, roba ya mchana, na chochote chenye maudhui sawa na hivi havihitaji wasikilizaji au watazamaji wazee!

Wewe katizame vipindi vya wababu star tv, itv au tbc huko
 
nataka ajirekebishe
Yani mtu kaajiriwa huu mwaka wa nane ili afanye anachokifanya wewe unaleta uzee wako eti ajirekebishe utamlipia bills?

Uzee nyumbani kwako aisee don't bring our girl into your nonsense
 
Huenda walengwa (hadhira) wa kipindi hicho wanapenda hizo ''swaga''

Yaani ''masela na pisi kali'' wanaona huyo ni booooonge moja la mtangazaji.

NB: Ujana una mambo mengi sana.
Sasa kumbe mnajua hadhira ya hivyo vipindi ina wa-exclude nyie wabibi na wababu sasa mbona mnawashwa?
 
Back
Top Bottom